Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo eti wale walioingia kabla ya Mwaka 1998 eti walikuwa wakifanyiwa conversion ya michango yao ya kila mwezi kwa wakati huo na kupunguzwa sana.
Kwa mfano, mtu ambaye hata kufikia mwaka 1998 alikwa tarayai kafanya kazi miaka 20 ambayo ni asawa na miezi 240 alikuwa anapunguziwa hiyo miezi hadi kuonekana eti ni miezi isiyozidi 90. Kwa hiyo unakuata mstaafu kapoteza hadi miezi 130 ya utumishi wake katika kulipwa pensheni.
Pamoja na Kanuni hiyo kutaja miezi lakini NSSF wao walikuwa wakiendelea kuwapunja wastaafu kwa kubadili miezi hiyo na kuifanya kuwa michache na imetokea wastaafu wengi sana NSSF wamepoteza pensheni zao kwa sababu ya utaratibu huo wa conversion. Mtu wa NSSF unakuta kafanya kazi miaka mingi lakini pensheni yake unakuta ni kiduchu mno kisa hiyo hiyo conversion formula.
Shangazi yangu alistaafu mwaka 2016 lkn kwa kipindi cha nyuma ya miaka 20 huko kabla ya mwaka 1998 ilichukuliwa miezi 240 na kubadilishwa na kuwa miezi 89 kwa hiyo wakachukua miezi ya kuanzia mwaka Julai 1998 na hiyo miezi 89 na kumlipa pensheni kwa upungufu wa miezi 131 na bila hata aibu tulipofuatilia walikuwa wanakenua kenua meno tu na kutujibu kunya kwa kuwa wakati huo Erio alikuwa anaweza kukaa na kula dinner na Mwendazake Ikulu bila kizuizi chochote.
Nimeangalia Kanuni ya sasa pia haiongelei suala la NSSF kutumia conversion formula lkini kwa kuwa wanafikiri wananchi hatuoni inawezekana kabisa wakaendelea hivyo hivyo kutunyonya kupitia conversion formla.
Rais Samia pls ongelea na hili kwani tambua kuwa wakati mwingine watendaji hawa wa Mifuko wana roho mbaya sana wanasababisha Serikali yako ichukiwe kwa ajili tu ya kufanya makusudi. These people of pension funds are real bad people.