Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

Hii akili ni ya kimbuzi, unadhani wafanyakazi wote wakiacha kazi huko hospital watakutibu kuku?
Huko tunaponywa na Mungu tu. Madaktari wa kibongo wote feki. Mbona mlishindwa kuwaponya wale majeruhi wa moto wa mafuta pale Morogoro?
 
Wao wameamua kujitafutia fedha kwa njia hiii, wewe kama ni mkulima au mfanyabiashara ni juu Yako. Kila mtu akiwa mkulima na mfanyabiashara mtamuuzia nani basi?. Jikite kuwashauri na kuwa andaa watoto na jamii Yako wasiwe wafanyakazi.
Naona mnatumikishwa kwa ujira mdogo Sana. Halafu miistaafu mnakufa mkiwa mmefulia Sana. Mnakufa hovyo uzeeni kamq kuku wa mdonde
 
Kumbuka JPM hakuridhia kikokotoo.
Alitoa miaka 5 kiangaliwe upya.
Mpaka anafariki miaka mitano ilikuwa haijafika.
Kama umefanyiwa uhuni pole.
JPM asilaumiwe kwa hili
Jpm alisema kikokotoo kipya kitaanza 2024.nchi yetu imepitia madhira sn.tunahitaji Sheria nzuri sn.
 
Mi naomba nieleweshe kuhusu hii michango na malipo yake!

Kama kwa muda wote wa utumishi wangu nimechangia kwa miezi isiyopungua 400 jumla ya sh 200m jumla!

Ninapostaafu, unanipaje hiyo pesa yangu uliyokaa nayo kwa miaka isiyopungua 30?
Mshahara wako ni shilingi ngapi mpaka zikife mil 200 ulizochangia ?
 
Mpuuz mmoja wewe, kwani aliyefanya marekebisho ya sheria kutoka mtu kuchukua 100% ya mafao yake mpaka 25% ni nani kama sio JPM!
Mtetee kwa kadri uwezavyo lakini he was a devil in so many aspects!
Huwezi kupewa 100% ya hela.

Hakuna aliyewahi kupewa 100% ya mafao kabla ya Magufuli.

Kungekuwa hakuna mafao ya kila mwezi kama umepewa 100% ulipostaafu.

Na mfuko ungekufa. Mfuko unaendelea kuwepo kwa kutegemea kwamba kuna watakaokufa kabla ya kupokea 100% ya hela yao. Kufa kufaana.

Usidhani ni siasa za Magufuli au Prof. Erio wa NSSF.

It is actuarial science. Very technical stuff.
 
Fao la kujitoa na lirudishwe...
Kabisa kiongozi. Mimi sijataka kusoma hayo maandiko yao, just waambiwe, rudisha fao la kujitoa!! Haki!! I hate jiwe!
Hiyo legacy hainihusu! Maisha magumu aisee! Nataka hela zangu!
Kuna watu pimbi sana! Eti nisuburi mpaka nikiwa na miaka 55! Kweli jamani, hii sio sawa!
 
Huwezi kupewa 100% ya hela.

Hakuna aliyewahi kupewa 100% ya mafao kabla ya Magufuli.

Kungekuwa hakuna mafao ya kila mwezi kama umepewa 100% ulipostaafu.

Na mfuko ungekufa. Mfuko unasimama kwa kutegemea kwamba kuna watakaokufa kabla ya kupokea 100% ya hela yao.

Usidhani ni siasa za Magufuli au Prof. Erio wa NSSF.

It is actuarial science. Very technical stuff.
Fucv off with actuarial science. Watupe hela yetu, hizo science hazituhusu!
 
Mpuuz mmoja wewe, kwani aliyefanya marekebisho ya sheria kutoka mtu kuchukua 100% ya mafao yake mpaka 25% ni nani kama sio JPM!
Mtetee kwa kadri uwezavyo lakini he was a devil in so many aspects!
Hujui kitu wewe! Toka lini mfanyakazi akachukua mafao yake 100%? Sasa pension ya kila mwezi atapataje kama atachukua mafao yake yote? Unless unazungumzia mfanyakazi anayestaafu bila kuchangia miezi 180. Hata kusoma sheria ya mafao unashindwa? Mbona sheria iko wazi inapatikana hata mtandaoni au tatizo ni lugha kwa kuwa imeandikwa kwa kizungu!!?
 
Kabisa kiongozi. Mimi sijataka kusoma hayo maandiko yao, just waambiwe, rudisha fao la kujitoa!! Haki!! I hate jiwe!
Hiyo legacy hainihusu! Maisha magumu aisee! Nataka hela zangu!
Kuna watu pimbi sana! Eti nisuburi mpaka nikiwa na miaka 55! Kweli jamani, hii sio sawa!
Hakika....
 
Hawaelewi wanachokisema. Anazungumza kilimo lakin anasahau kuna watumishi wapo kwenye viwanda na bohari za madawa kumsaidia yeye, watoto wake wapo shule walimu wanamfundishia na kumuondolea ujinga, yeye mwenyewe akipata mimba anakwenda kujifungulia hospitali anazalishwa na manesi (watumishi), wakimuibia anakimbilia polisi na mahakamani n.k sasa chukulia wote hawa wanakwenda kulima nani atakuwa mnunuzi?
Akitaka kuunganishiwa umeme kwenye nyumba yake anaenda Tanesco,akitaka maji anaenda Dawasco, hawa wote wakiacha kazi tutapata wapi hizi huduma?
 
Mlifanya press Kama chama, mkampinga mwendazake live kwenye mkutano wa hadhara Ila Sasa Kama hamsikii lolote lile.

Mungu awabariki na Muda utaongea.
 
Mpuuz mmoja wewe, kwani aliyefanya marekebisho ya sheria kutoka mtu kuchukua 100% ya mafao yake mpaka 25% ni nani kama sio JPM!
Mtetee kwa kadri uwezavyo lakini he was a devil in so many aspects!
Hajui miaka mitano yake ilikuwa ni 2023, sote tulikuwa 2023 Hilo la kikokotoo linarudi, tumshukuru hata Kwa hiyo 33% Ila Mimi ninamuuliza je na wabunge watakuwa kwenye package hii hii ya 33%??
Kama haiwahusu wabunge ni uonevu!
 
Watumishi wa serikali tabu ndo ipo kwenye kikokotoo unapewa 33% kama fedha ya mkupuo na 67% inayobaki unapewa kama pensheni yani kama una kitita cha 100m unapewa 33,000,000 hio 67,000,000 unapewa kama pensheni...bila hili swala kurekebishwa watumishi wa umma wataendelea kufuja sana rasilimali za serikali...
Mwizi anaibiwa
 
Back
Top Bottom