- Thread starter
- #21
Halafu akajishtukia mwenyewe!Mpuuz mmoja wewe, kwani aliyefanya marekebisho ya sheria kutoka mtu kuchukua 100% ya mafao yake mpaka 25% ni nani kama sio JPM!
Mtetee kwa kadri uwezavyo lakini he was a devil in so many aspects!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu akajishtukia mwenyewe!Mpuuz mmoja wewe, kwani aliyefanya marekebisho ya sheria kutoka mtu kuchukua 100% ya mafao yake mpaka 25% ni nani kama sio JPM!
Mtetee kwa kadri uwezavyo lakini he was a devil in so many aspects!
Wewe ndiyo hujui! Tena hujui kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Hujui madhara ya mfumo mpya, ungalijua usingeshadadia.
Subirini kilio
Wao wameamua kujitafutia fedha kwa njia hiii, wewe kama ni mkulima au mfanyabiashara ni juu Yako. Kila mtu akiwa mkulima na mfanyabiashara mtamuuzia nani basi?. Jikite kuwashauri na kuwa andaa watoto na jamii Yako wasiwe wafanyakazi.Kwani wafanyakazi hamuwezi kuacha kazi mkaanzq kujitafutia fedha wenyewe kupitia biashara na kilimo? Mbona mnateseka sana
NSSF ya Dau, Kahyarara na hata Erio ilikuwa ya kikatili sana. Hebu tumwone na huyu Msukuma Masha kama naye ana roho mbaya kama wenzake!Ninakumbuka miaka ya Kikwete madarakani Prof. Shivji aliwahi kulalamika kuhusu wafanyakazi wanaochangia NSSF kudhulumiwa mishahara yao, ni kwamba mfanyakazi amechangia NSSF kwa muda wa miaka 30 lakini anapostaafu analipwa kikomo cha miaka 15 tu! Hiyo michango iliyozidi miaka 15 inapotea! Pamoja na Pro. Shivji kuongelea hilo Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi pamoja na wafanyakazi waliliona swala hilo haliwahusu! Ndivyo watanzania tulivyo kutokujali haki zetu.
Hata wakulima sasa wanaweza kuchangia!Wao wameamua kujitafutia fedha kwa njia hiii, wewe kama ni mkulima au mfanyabiashara ni juu Yako. Kila mtu akiwa mkulima na mfanyabiashara mtamuuzia nani basi?. Jikite kuwashauri na kuwa andaa watoto na jamii Yako wasiwe wafanyakazi.
Dogo acha matusi toa hoja.Mpuuz mmoja wewe, kwani aliyefanya marekebisho ya sheria kutoka mtu kuchukua 100% ya mafao yake mpaka 25% ni nani kama sio JPM!
Mtetee kwa kadri uwezavyo lakini he was a devil in so many aspects!
Masha jina la mama tu Damu ya watu ile syo ya kisukumaNSSF ya Dau, Kahyarara na hata Erio ilikuwa ya kikatili sana. Hebu tumwone na huyu Msukuma Masha kama naye ana roho mbaya kama wenzake!
We sjui unalazimisha kutumia ubongo upi.Wewe ndiyo hujui! Tena hujui kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Hahah from sexless to uselessKwani wafanyakazi hamuwezi kuacha kazi mkaanzq kujitafutia fedha wenyewe kupitia biashara na kilimo? Mbona mnateseka sana
Maboresho yapi? Yaani hawa CCM kwa aslimia 33 kati yamia. Nisaidieni ikitokea umekufa hata mwaka bado hiyo 67% inaenda wapiHujanielewa kabisa wewe! JPM kwa kushirikiana na hao vigogo wa Mifuko wa Enzi hizo ndiyo waliibinuliaa SSRA huko! Mojawapo ya issue ni hata Mifuko wenyewe hawakupenda kikokotoo cha SSRA ambacho hamna kilichokwepwa kwani mama amekirudisha kwa maboresho ambayo kwa wengine ni hasi na kwa wengine ni chanya!
Ili mje kusumbua watoto na kuomba omba mtaani uzeeni....Fao la kujitoa na lirudishwe...
Kama kweli vile! Iliafaa kabisa wabadilishwe wote wote wote kabisa!The bottom line ni kwamba mashirika haya ya kijamii hasa NSSF yanajinufaisha yenyewe tu badala ya wafanyakazi, yanawatesa sana wastaafu na kuwasababishia msongo mkubwa wa mawazo. Kibaya zaidi wafanya kazi wao hawana hata chembe cha huruma inapofika wakati wa wastaafu kufuatilia mafao yao. Wanawafanya kama watoto wadogo, wanawadhalilisha na kuwapa lugha za kijeuri sana wakati wakitafuta haki zao. Hakuna maelezo au utaratibu unaoeleweka wa jinsi ya kupata na kujua mahesabu yanavyopigwa hadi kukupatia mafao yako
NSSF Mungu anawaona
Kuna namna wategemezi wanafidiwa!Maboresho yapi? Yaani hawa CCM kwa aslimia 33 kati yamia. Nisaidieni ikitokea umekufa hata mwaka bado hiyo 67% inaenda wapi
Tehe tehe!Niliwaambia wakati mnashangilia 23.3% muangalie vilevile mkupuo wa 33%.Nilichotahadharisha subiri atakayestaafuu 1st July 22 atatoa majibu.Kwa waliokuwa PPF au NSSF tangu zamani hawana tatizo ila waliokuwa mifuko mingine wataelewa maana ya 30% mkupuo baada hiyo 1st july.
Hapana monthly inapungua kidogo na lumpsum inaongezekaWe sjui unalazimisha kutumia ubongo upi.
Iko hivi,
Unalipwa special lumpsam 33 unaona ni kubwa.
Ila monthly pension inapungua.
Bahati mbaya hyo lumpsam umpate Bi Aisha zikiisha wafwa maana ile monthly itakua kiduchu.
Ni bora upate 25 theni hyo 75 upate monthly
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Haupo Tanzania nini?Dogo acha matusi toa hoja.
Alisema liangaliwe upya baada ya wadau kuligomea na alitoa miaka 5. Sasa kama bado miaka 5 kufika unamlaumu vipi?
Maana yake kikotoo bado hakijaanza kufanyiwa kazi.
Basi umeliwa na wajanja tu.
Watu wamekariri, ni kuwasamehe tuHivi mnavyoandika comment kama hizi huwa mnafikiria kweli nyie motiveni supika? Kila mtu akiacha kazi akaenda kwenye kilimo na biashara, watoto shuleni watafundishwa na nani?, wagonjwa mahospitali watatibiwa na nani?