Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,673
- 9,710
Kagame ni kibaraka wa mabeberu mkubwa sana. Asingekuwa kibaraka angeshaondolewa siku nyingi sanaHuyo shoga(yes yeyote anayejifanya mpenda demokrasia kwangu mimi ni shoga) hajui chochote kuhusu Rwanda hasa baada ya genocide, anafikiri bila kiongozi shupavu asiyekuwa na masihara kama Kagame Rwanda ingekuwa hapo ilipo, jamaa anafikiri kuiongoza nchi ndogo iliyotoka vitani ambayo haina rasilimali kama Rwanda na ikawa mfano ni jambo jepesi...
Kiufupi jamaa ni mpuuzi sana, yaani anajaribu kubelittle achievements za Kagame kwa kigezo cha hiyo demokrasia yake anayoitaka... mjinga sana huyo muhaya.
Naona hata kwa Magufuli, anafanya vile vile tu kwamba kwa vile alikandamiza sana uhuru wa kisiasa, basi anamuona hakuna alichokifanya.... Yaan kwake yeye maendeleo ni uwepo wa demokrasia anaudhi sana
We muhaya DR HAYA LAND rudi shule pumbavvu.
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.
Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"
Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)
Haya nyie waTz mliotawaliwa na marais 5 mmeendelea?stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Unateseka ukiwa wapi? Hii savior mentality ina kuua na stress😌😌🙌🏾 pole Mkuu.😊stupid as africans are...
Waafrika wengi mnapenda mijeledi kama punda,
So sad, so sad wazungu kuwa na savior mentality ya namna hii. Loh. Typical african in power...nilitaka kuhangaa atofautiane na waafrika wenzake. stupi burger takataka
Huyo Kagame na udikiteta wake ameleta maendeleo makubwa Rwanda pamoja na kupitia kwenye vita,sasa wewe hao wanasiasa wako wamefanya nini pamoja na demokrasia yenu?Kagame ni kibaraka wa mabeberu mkubwa sana. Asingekuwa kibaraka angeshaondolewa siku nyingi sana
Haelewi kabisa, anafikiri maamuzi yake ndio ya mwisho, ajiulize akina Gadaffi kuwa walikosea nini?
Dunia ina wenyewe, hawa marais wa dunia ya 6 ni ALAMA tu za viongozi lajini RIMOTI zimeshikiliwa na wenye dunia yao
Usimlinganishe Mabutu na Traole acha kabisa ujinga huo na ujitambue.Yeye namuelewa wala s9mshangai kwa sababu ana tamaa ya madaraka ana kitu anatafuta.
Nisiowaelewa ni hawa misukuke wa Afrika wanaomshangilia.
They are cheering for a tyrant.
...ndio kusema "revolution" ni uchawi?Mpaka leo anaamini uchawi bado.
Some medieval bullshit.
Je zimeendelea au hazijaendelea kupitia huo udikteta wao?HAWA WOTE WANANCHI WAO WANAZIKIMBIA NCHI ZAO KUTAFUTA KWENDA WESTERN WORLD NA KUPATA URAIA! WHY?
CHINA NI OPEN KABURI, WAKATI WOWOTE UNAWEZA KUTUMBUKIZWA HUMO
Siyo kwaAfrika ya sasakwenye democrasia ni rahis kupandikiziwa mamluki apo ndio tatizo na kwenye udikteta mnaweza kujikuta mnamilikiwa na lipimbi kwa muda mrefu na hamna chakulifanya na likiondoka linaacha pimbi lingine
Hivi demokrasia ni kwa marekani kuivamia Iraq,Libya,Kongo,Afganstan,Vietinam,nk??Demokrasia = mnachagua au kufanya maamuzi kwa kushirikiana
Kiimla - MTU mmoja anaawaamuli wengi .
Hasara za demokrasia
- wajinga wakiwa wengi mtapata viongozi wabaya
Faida
-Amani ya nchi - kwakuwa watu wengi mlikubaliana na kumchagua mnayemtaka
Nchi za Africa ni nchi ambazo zinabidi Kuwa na demokrasia .
Ahsante .
Mkuu, kwa hilo juu kuhusu kusalitiwa na viongozi wenzake ninalitilia mashaka,Usimlinganushe Traole na zama za Gadafi na utambue Gadaffi alisalitiwa na viongozi wenzie wa Afrika.
Haki☝🏿Sidhani hilo juu lina ukweli wowote ule.Waafrika wanaanza kujitambua na kuwaona wazungu maadui.
Trump tunamsema, yeye na wafuasi wake. Wewe tu umelala.Vibaraka na mawakala wa wazungu, mapovu yanawatoka.
Hakika dunia imekuwa ni kijiji kwa mujibu wa wabobezi wa tekenolojia-taarifa zinapatikana kiganjani.
Rais Donald Trump kwa mda mfupi, toka amechaguliwa kwa maneno na vitendo, amekuwa akii ikanyaga Katiba na Demokrasia nchini Marekani, ila hutawasikia hawa wabobezi wa Demokrasia JF wakiwaita Wamarekani ni mabaga, n.k n.k Unafikiri ni kwanini
Unateseka ukiwa wapi? Hii savior mentality ina kuua na stress😌😌🙌🏾 pole Mkuu.😊
Wewe mwenyewe huko ulipo unapelekeshwa kwa mjeledi🤔🤣🤣🤣
So sad, so sad wazungu kuwa na savior mentality ya namna hii. Loh
wakati huo huo washaambiwa Saviour mentality ni Ugonjwa ambao unawapatia usongo na makasiriko yasiyo na ulazima.
/Irritability /inatokea pale wanaposhindwa kufanya chochote kwa lolote. I wonder how they feel when they know there is absolutely nothing they can do.
In hindsight, hawa mawakala na wahenga wa mabeberu wameshindwa kuielewa hoja.
Wamejaa jazba na matusi tu.
Ngoja nitafute nyama huku chini.
Wapi nimemtaja Mobutu?Usimlinganishe Mabutu na Traole acha kabisa ujinga huo na ujitambue.
Watu kama nyie ni vibaraka wa wazungu kupitia demokrasia,haya wapeleke hiyo demokrasia yao ikamalize vita kati ya Mrusi na Ukraine kama kweli inafanya kazi.
Huyo Rais wa Ukraine siyo dikteta?wamtoe basi!!
Nineweka link yenye makala ndefu inayomchambua kiundani Traore, sipo katika mkumbo wa kumshabikia kijumlajumla....ndio kusema "revolution" ni uchawi?
...umekuwaje mkuu; na majibu yaliyojaa jazba?
...Umeshindwa nini leo kui engage na hoja yake.
...una muattack bila hata na hoja ya msingi. Not so smart.
...kumbuka pia, hata hiyo Demokrasia ni mediaval bullshit.
Pitia chanzo nilichotaja hapo kajiridhishe kama unahisi ni uongo.Mnapandikiza maneno mengi sana ya uongo kwa huyu jamaa
huwa mnasema anafanya nini? anawachapa fimbo Wamarekani kama punda?Trump tunamsema, yeye na wafuasi wake. Wewe tu umelala.
Marekani unaitukuza sana eeh?huwa mnasema anafanya nini? anawachapa fimbo Wamarekani kama punda?
Kanogewa na salutes huyo. Hatoki wakae kwa kutulizana. Mada yake hayana msibgi wiwote zaidi ya kujustfy nia yake ya kuitawala Burkina Faso mileleKiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.
Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"
Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)
Naona umechanganyikiwa. Sihitaji kuisoma hiyo makala, ninachohitaji ni haya niliyo yaorodhesha:Nineweka link yenye makala ndefu inayomchambua kiundani Traore, sipo katika mkumbo wa kumshabikia kijumlajumla.
ona sasa, weye huyu wa ad hominem argumentum-Bro niliyoyauliza vipi? manake sikuuliza Traore ni nani.Soma post#46
Kama hujui kusoma, hilo ni tatizo lako.
Indeed medieval busllshit kwa reasoning uliyotumia kule juuKama demokrasia ni medieval bullshit,
ona sasa, makasiriko ya ninikaa kimya basi
Aha. Sasa tatizo lako lipo wapi kama unatambua hilo?Maana hata wewe kujueleza hapa JF ni sehemu ya demokrasia