Kitendo tu cha wewe kusema dunia ina wenyewe sijui wao ndio wameshika remote tayari moja kwa moja unadhiirisha hii dunia aina hiyo demokrasia, maana tayari kuna watu wenye nguvu kuliko wengine na ndio wanaamua dunia iende vipi na wakati huo katika demokrasia tunaambiwa hakuna mtu ambaye yuko juu ya mwingine.Haelewi kabisa, anafikiri maamuzi yake ndio ya mwisho, ajiulize akina Gadaffi kuwa walikosea nini?
Dunia ina wenyewe, hawa marais wa dunia ya 6 ni ALAMA tu za viongozi lajini RIMOTI zimeshikiliwa na wenye dunia yao
Ukweli ulio komaa. Maana hili neno democracy limetuletea matatizo makubwa sana Africa, mpaka nchi za mabebelu zinaingilia mambo ya ndani ya Africa Kwa mgongo wa democracy.Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.
Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"
Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)
Africa tunahitaji Hitler wetu, Mao Ze Dong wetu na Lenin Putin wetu la sivyo tutaendelea kuwekewa masharti ya kuchukua mikopo na nchi yenye vyama viwili ( Marekani) halafu nchi inayowekewa masharti ina vyama 19.
1. Passed by Congress June 4, 1919, and ratified on August 18, 1920, the 19th amendment granted women the right to vote. The 19th amendment legally guarantees American women the right to vote. Achieving this milestone required a lengthy and difficult struggle—victory took decades of agitation and protest.🤣🤣🤣
Kuna watu mnachekesha sana aisee!
Halafu sijui shida ni nini: ni kwamba mna vichwa vizito na hamuelewi mambo mnayoyasikia na kuyasoma au labda mnapata taarifa zenu toka kwenye vyanzo vya habari visivyo vya uhakika na kuaminika?
"Wazungu" hawakuleta demokrasia Afrika. Walileta ukoloni na ukoloni mamboleo.Hata mimi nasemaga humu kila siku. Nchi haiwezi kuendelea chini ya demokrasia. Demokrasia ina walaji(machawa) wengi sana ambao usipowaridhisha huwezi baki madarakani. Wazungu walipotuletea demokrasia walikuwa wanajua wanachokifanya.
Waliamua kufata demokrasia au walilazimishwa? Kataa kufata demokrasia upigwe vikwazo uone kama mwenyewe hautarudi kwenye hiyo demokrasia. Lakini mwarabu hafati demokrasia na hawekewi vikwazo. Hapo ndo ujue tuko kwenye ukoloni uliokubuhu. Uhuru wa bendera tunadanganywa"Wazungu" hawakuleta demokrasia Afrika. Walileta ukoloni na ukoloni mamboleo.
Kuwa na demokrasia au kutokuwa na demokrasia ni uamuzi wa nchi.
Waafrika na viongozi wao wenyewe ndio walioamua kufuata mfumo wa demokrasia kisanii ili waendelee kupata misaada toka Magharibi, waweze kuhifadhi mapato yao binafsi ya kifisadi, na kwenda kula bata huko huko bila kusumbuliwa. Trump keshawapa tahadhari.
Demokrasia haitaki kabisa usanii kama ule unaofanywa nchini tangu 1992 na kuendelezwa kwenye Maridhiano na 4R.
Waafrika wengi ndipo walipokwama na kukimbilia kusingizia kwamba kukosa maendeleo tatizo ni demokrasia! Ni kama muathirika wa HIV kurukaruka kwenye umezaji wa ARV halafu mashambulizi yakianza kujitokeza unakimbilia kusingizia ARV ndio tatizo.
Sahihi kabisa mkuu, demokrasia ina thrive kwa watu ambao tayari wameandaliwa kuishi kidemokrasia tangu udogoni.Demokrasia ili ifanikiwe inahitaji watu walionyooka kuanzia ngazi ya familia.sasa uku kona kona na vichochoro vingi Demokrasia hawez fanya kitu
Kuendekeza demokrasia kwa taifa linaloendelea ni kurudisha nyuma maendeleo, wakati nyie mnabishana sera za nani ni sahihi na za nani zina mapungufu tena huku mkitukanana majukwaani... wenzenu wako bize na kufanya vumbuzi mbali mbali zinazolipeleka mbele taifa.India waliingia kwenye mkumbo wa demokrasia ndio sababu mojawapo wameshindwa kuifikia China kwenye maendeleo. Wakati wako busy na siasa, wenzao China wanachapa kazi viwandani.
Una mantiki kubwa sana kwenye hili bandiko lako, japo umetumia lugha ya mzunguko sanaDemokrasia ni nini ? People's Power ni jambo jema sana lakini sababu hakuna direct democracy na kuna representation ambapo average voter hata hajui anataka nini hivyo kunakuwa na demagogues ambao wanapindisha mambo au kutumia watu kupitisha ajenda zao... (Case in Point ingawa Trump analikoroga in the long run kwa nchi yake ila watu wanamsifia sababu ni Populist na anajua kucheza na akili zao kama alivyokuwa Hitler)
Hivyo basi really democracy can only occur iwapo tutaweza kutumia teknolojia ambayo watu wenyewe watakuwa na say directly (lakini hili sio jema sana sababu huenda watu wanachotaka sio chema kwao kutokana na kutokuona the bigger picture) hivyo itakuwa bora kwa yoyote kuweza to have their say iwapo they are involved and know what they are talking about..., Shida ni kwamba watu tunahusisha demokrasia na kuchagua watu wa kutufanyia mambo na sio kushiriki katika kufanya mambo...
Demokrasia katika Karne ya 21; Ni nini Tunachokitegemea, Uhalisia na Shabaha yetu ni Wapi tunataka Kufika ?
Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo Je Demokrasia tunayotegemea imebakia kwenye Kuchagua watu wa Kutuamulia mambo au Kuchagua watu wa kuwakilisha...www.jamiiforums.com
By the way ana point a Benevolent Dictator will make things done more than a wishy washy democrats
Acha uongoHizo nchi zote ulizotaja hazina Marais zote zinaongozwa na wafalume ambao hawatoki madarakani !!! Chaguzi zinazofanywa ni Kwa nafasi ya mawaziri wakuu TU !!! Hapo kunademokrasia ??? Nchi chache saana ulaya zenye mkuu wa inchi ambaye ni president nyingi zinaongozwa na falume zao
Kauli chungu sana kwa sisi wapenda demokrasia lkn kwa hiki kizazi Cha sasa Cha mtu mweusi ni ngumu sana mtu kutimiza wajibu wake bila kubuluzwa buluzwa.Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.
Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"
Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)
Lakini hizo one man show ndo ziliwavusha kutoka kwenye umaskini hadi kuwa hapo walipo leo.Acha uongo
Mawaziri wakuu ndo wanaaandaa budget na kuratibu maendeo bila hata kuhusisha wafalme
Wafalme wapo kama ceremoniously tu nchi za ulaya zinafuata mfumo wa rule of law na sio one man show huko walishavukaga mda sana
Kwani lini watu walitimiza wajibu wao bila kubuluzwa? Hao wezi wa mali za umma nao ni vijana wa 2000?Kauli chungu sana kwa sisi wapenda demokrasia lkn kwa hiki kizazi Cha sasa Cha mtu mweusi ni ngumu sana mtu kutimiza wajibu wake bila kubuluzwa buluzwa.
Hii watanielewa watu ambao wameajiri/ ama kufanya kazi na Hawa vijana wetu wa 2000.
Hilo jinga litaonesha rangi halisi muda si mrefu na watajuta kumfahamu. Huyo hajui ht maana ya demokrasia. Anaifahamu Marekani?Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.
Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"
Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)
Kwani Kuna wakati ulifikiri ana akili?stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Sijui ht kw ww mwenyewe unaelewa ulichoandikaKaongea ukweli ila kueleweka itachukua muda!, kukataa demokrasia sio kwamba wewe ni dictator!.
sasa wengi na najua zitaanza kuzuka tetesi na kashifa za dictator kwenye nchi yake!, hizo ni kawaida maana properganda lazima aanzishiwe hata magufuli hapa bongo aliitwa kila aina ya jina!.
Mi nafikiri aina ya uongozi na kujiongoza nchi zinaweza kuchagua njia zake vile itaona inafaa, wapo wanaongoza nchi ki falme wanaenda vyema tu!.
Africa demokrasia ni udhaifu, huwezi kumuongoza mtu mwenye njaa kidemokrasia na asiibe, mtu alipwe laki na nusu lije zali la million ati aliaachie!. demokrasia kwetu inatakiwa ianzie kwa viongozi ngazi za juu wakituonyesha wao na huku chini watu wataanza kubadirika lkn huko juu kila siku ni ufujaji na hasara zakutosha!.. na wanajiita wasomi hehe!
Kaka hili bandiko lako hakuna hata mmoja miongoni mwa hawa washadadia demokrasia walio comment hapa wanaweza kukupa majibu...Wanaosema Uingereza kuna demokrasia mbona walitutawala kwa nguvu? Kwanini tusingepiga kura tuchague kama tunataka ukoloni au lah. Mbona ilimiliki watumwa waliolima mashamba kwenye vlsiwa vya Caribbean? Kwanini wasingeruhusu watu wachague kama wanataka kuwa watumwa au lah? Au wale Aborigines wa Australia mbona waliuliwa na kuchinjwa na hao hao waingereza? Hiyo ndo demokrasia? Mbona hadi leo vitu walivyoiba kwetu wamevijaza kwenye makumbusho yao? Kwanini hatupigi kura tuchague kama vitu vyetu virudishwe au viendelee kubaki kwenye makumbusho ya Uingereza? Wamegoma kurudisha hadi vinyago vilivyochongwa na mababu zetu. Hiyo ndo demokrasia?