Unauliza swali na kujijibu mwenyewe ni dalili ya kuweweseka iyo.Anajenga kwa hela za nani? Matumizi ya hovyo ya hela wa walipa kodi!!
Mwambie ajenge kwa hela zake; anajua maana ya najisi huyo!!Unauliza swali na kujijibu mwenyewe ni dalili ya kuweweseka iyo.
Tuambie basi maana ya najisi wewe unayejua maana yake.Ajenhe kwanhela zake; anajua maana ya najisi huyo?
Maana ya najisi ni wewe kuchomolewa ubongo na kuwekewa kamasi hapo Lumumba!Tuambie basi maana ya najisi wewe unayejua maana yake.
Hahaha comrade kejeli na matusi hazikusaidii kitu. Jaribu kuwa na fikra hata kidogo ili uache kuweweseka.Maana ya najisi ni wewe kuchomolewa ubongo na kuwekewa kamasi hapo Lumumba!
Kama chadema wanashirikiana na mabeberu, ccm wao wanashirikiana na mbuzi[emoji3][emoji16][emoji28]Chadema wanashirikiana na mabeberu ni sahihi kuvunja hilo jukwaa.
Izi bangi sijui uwa wanavutia wapi Hawa viumbeSiasa za Tanzania kusema kweli chama tawala kinatia aibu.
Kesho waziri mkuu atakuwa Karagwe kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.
Sasa leo DC wa Karagwe ameamuru kujengwa jukwaa lingine baada ya jukwaa la asili ambalo alitumia Tundu Lissu kujinadi kudai kuwa limetiwa najisi. Yaani Tundu Lissu alilitia najisi.
Aidha jukwaa hilo limetengenezwa na wafungwa.
Hapa ndipo yalipoibuliwa madai ya Rais Magufuli kujimilikishia ardhi ya hekari 25000.
Acha kesho tusikie.
My take
Kitu kilichonikera ni kuwa DC huyo katumia lugha chafu za udhalilishaji wa utu dhidi ya Tundu Lissu kuhalalisha kusudio lake hilo!
Siasa za Tanzania kusema kweli chama tawala kinatia aibu.