Uchaguzi 2020 Karagwe: DC aamuru kujengwa jukwaa lingine ili litumiwe na Waziri Mkuu, asema jukwaa la awali ambalo ni la kudumu limetiwa najisi na Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Karagwe: DC aamuru kujengwa jukwaa lingine ili litumiwe na Waziri Mkuu, asema jukwaa la awali ambalo ni la kudumu limetiwa najisi na Tundu Lissu

Matumizi mabaya ya mali za umma, in africa wanasiasa ni wajinga sana
 
kwanza unaanzaje kumlinganisha waziri Mkuu wa nchi na Lisu?! ni aibu kabisa!!
 
Lakini si ni ukweli huo,ata hivyo CCM hela ipo wacha watengeneze jukwaa jingine wapishane na pepo mchafu kigulu. Mtu anayetaka watu watoane damu ili tu apate madaraka huyo anapepo wachafu au ana jin bin laden.
 
Naomba kuuliza Waziri Mkuu anazunguka kuomba kura yeye kama nani kwenye huu Uchaguzi?
Wagombea wanaotambuliwa kitaifa ni Makamu wa Rais na Rais....huyu Majaliwa anatumia pesa za umma bila aibu aiseee
 
Siasa za Tanzania kusema kweli chama tawala kinatia aibu.

Kesho waziri mkuu atakuwa Karagwe kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.

Sasa leo DC wa Karagwe ameamuru kujengwa jukwaa lingine baada ya jukwaa la asili ambalo alitumia Tundu Lissu kujinadi kudai kuwa limetiwa najisi. Yaani Tundu Lissu alilitia najisi.

Aidha jukwaa hilo limetengenezwa na wafungwa.

Hapa ndipo yalipoibuliwa madai ya Rais Magufuli kujimilikishia ardhi ya hekari 25000.

Acha kesho tusikie.

My take
Kitu kilichonikera ni kuwa DC huyo katumia lugha chafu za udhalilishaji wa utu dhidi ya Tundu Lissu kuhalalisha kusudio lake hilo!
Izi bangi sijui uwa wanavutia wapi Hawa viumbe
 
Subiri uone kama Majaliwa atavuta umati hiyo kesho.
 
Siasa za Tanzania kusema kweli chama tawala kinatia aibu.

Kesho waziri mkuu atakuwa Karagwe kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.

Sasa leo DC wa Karagwe ameamuru kujengwa jukwaa lingine baada ya jukwaa la asili ambalo alitumia Tundu Lissu kujinadi kudai kuwa limetiwa najisi. Yaani Tundu Lissu alilitia najisi.

Aidha jukwaa hilo limetengenezwa na wafungwa.

Hapa ndipo yalipoibuliwa madai ya Rais Magufuli kujimilikishia ardhi ya hekari 25000.

Acha kesho tusikie.

My take
Kitu kilichonikera ni kuwa DC huyo katumia lugha chafu za udhalilishaji wa utu dhidi ya Tundu Lissu kuhalalisha kusudio lake hilo!

Tume ya Taifa ya Uchaguzi,

Dc anahusikaje kuandaa JUKWAA LA KAMPENI?

Taaluma yake ni ipi?

Hakuna Mainjinia huko Karagwe?

Kwa mujibu wa MAADILI YA UCHAGUZI Watumishi wa UMMA hawaruhusiwi kushiriki kwenye JUKWAA LA KAMPENI.
 
Back
Top Bottom