Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

Karamu ya vyakula uswazi (Top 10)

Yote tisa lakini hapo kwa hivyo vimishikaki na pumbu(hashua) acha kabisa...ni tamu balaa..halafu wana ile chachandu yao..wale jamaa wana hatari!
 
B%202.jpg
 
al maarufu kifurushi hahaha mkuu unachimba sana
kuna supu inaitwa makwasukwasu huu ni mchanganyiko wa ngozi, kichwa nk
Ha ha ha ilinishinda hiyo Manzese midizini

Supu ya mapupu ni maarufu sana uswahilini huwa ina mchanganyiko wa vitu kadhaa kichwa,ngozi,mapafu,bandama yaaani mavitu flani yale ambayo hubaki ng'ombe akichinjwa watu hawali au havina soko.
 
TAHADHARI

huku mtaani "uswahilini" vyakula vya moto vinawekwa kwenye mifuko ya rambo na hata vitafunio vya moto hufungwa kwenye Magazeti yenye wino.
Serikali itapoteza pesa nyingi kutibu watu cancer cku zijazo kama Vifungashio havitataftiwa ufumbuzi.
 
Kweny vifungashio nakutanaga mpka na Matokeo ya wanafunzi Vyuoni na Mashuleni.

Nilishawahi kukuta hadi ripoti ya Kipolisi na Mabenki kwenye Bodi za Mikopo na Majina ya Wahusika na namba zao za Simu[emoji1787]
 
Mungu wangu[emoji848][emoji3064] Hizo ni nyaraka nyeti na zinatakiwa kuharibiwa baada ya kwisha matumizi yake
 
Mungu wangu[emoji848][emoji3064] Hizo ni nyaraka nyeti na zinatakiwa kuharibiwa baada ya kwisha matumizi yake
Siku hizi ni fursa, wanazinunua watengeneza vifungashio. Yaani unaweza kutana na Nyaraka muhimu hadi ukatamani kumuhoji uliyemkuta navyo. Ila unajifikiria utaanzaje Na ni Mama mkaanga Vitumbua tu
 
ELIMU YA ZIADA

Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu

Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.

Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya kupendelea kuchanganya chakula.

Mtu mmoja anaweza kula sawa na kwa urahisi, ila kwa mwingine kikageuka sumu.

Hali hii huchochewa zaidi na matokeo ya baadae pale unaposhindwa kuweka mchanganyiko sahihi na wenye afya zaidi
 
1.Samaki na Maziwa
Ni vyakula vyenye virutubisho lukuki na kuvichanganya katika sehemu moja vinaweza visiwe na uwezo wa kutengeneza virutubisho sahihi na hii inaweza kuleta shida baadaye.

Mwili wa binadamu hauhitaji vyakula vya aina tofauti vyenye kemikali za aina moja kuchanganywa. Huweza kusababisha sumu itakayopelekea mtu kutapika na hata kuharisha.
Screenshots_2022-11-12-09-17-59.jpg
 
Back
Top Bottom