Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
al maarufu kifurushi hahaha mkuu unachimba sana
Ha ha ha ilinishinda hiyo Manzese midizinial maarufu kifurushi hahaha mkuu unachimba sana
kuna supu inaitwa makwasukwasu huu ni mchanganyiko wa ngozi, kichwa nk
Kwa hiyo matumbo ya wabongo ni kama ya Bata sio🏃🏃Wataharisha mpaka vya ndani [emoji23]
Hapo naielewa supu ya pweza na vikachori ila hivyo vingine hapana
Niliwahi kula pumbu za mbuzi dah kilichonikuta sitosahau
Kweny vifungashio nakutanaga mpka na Matokeo ya wanafunzi Vyuoni na Mashuleni.TAHADHARI
huku mtaani "uswahilini" vyakula vya moto vinawekwa kwenye mifuko ya rambo na hata vitafunio vya moto hufungwa kwenye Magazeti yenye wino.
Serikali itapoteza pesa nyingi kutibu watu cancer cku zijazo kama Vifungashio havitataftiwa ufumbuzi.
Mungu wangu[emoji848][emoji3064] Hizo ni nyaraka nyeti na zinatakiwa kuharibiwa baada ya kwisha matumizi yakeKweny vifungashio nakutanaga mpka na Matokeo ya wanafunzi Vyuoni na Mashuleni.
Nilishawahi kukuta hadi ripoti ya Kipolisi na Mabenki kwenye Bodi za Mikopo na Majina ya Wahusika na namba zao za Simu[emoji1787]
Siku hizi ni fursa, wanazinunua watengeneza vifungashio. Yaani unaweza kutana na Nyaraka muhimu hadi ukatamani kumuhoji uliyemkuta navyo. Ila unajifikiria utaanzaje Na ni Mama mkaanga Vitumbua tuMungu wangu[emoji848][emoji3064] Hizo ni nyaraka nyeti na zinatakiwa kuharibiwa baada ya kwisha matumizi yake
Tumbo lilisumbua sanaUlianza kujikuna ukutani kama beberu ama?
Seafood unyama sana