Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Mbowe anazungumzia maridhiano na CCM na Samia, ila kwa hali ilivyo sasa, hiyo nguvu ya kuridhiana na CCM aitumie kuridhiana na Tundu Lissu, tena afanya hivyo walau wiki mbili kabla ya uchaguzi, na baada ya hayo maridhiano, atangaze kujitoa kugombea na kumuunga mkono Tundu Lissu.
Hiyo kwangu ndo karata nzito aliyobakiwa nayo Freeman Mbowe ambayo itampa ushindi wa kustaafu kwa heri ndani ya chama.
Kuna member mmoja JamiiForums ameweka vizuri sana kwamba, 'Huu uchaguzi wa sasa wa Chadema, ni uchaguzi mmoja ambao una chaguzi mbili ndani yake kwa wakati mmoja, kwasababu ni uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti na pia ni uchaguzi wa kuchagua mustakabali wa Chadema.'
Public sentiment tayari inaonesha Tundu Lissu ana support nzito sana ya wapenzi na mashabiki, hivo Tundu Lissu amebeba mustakabali wa CHADEMA.
Mbowe ana uwezo wa kifedha ku force kupata kura za wajumbe kwa namna anayojua yeye, ila baada ya hapo, ategemee uwanja usio na mashabiki. Nyakati za siasa za sasa zimebadilika sana kiasi kwamba, Mbowe is irrelevant kwenye siasa za hizi nyakati. Inawezekana Mbowe ana leadership skills ila hizi siasa kwa nyakati hizi, zinamuhitaji zaidi TAL, na hichi ndicho angetakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kuchukua fomu kwa mara ya tano.
Wakati haupo upande wa Mbowe kwa sasa