Karata nzuri iliyobaki kwa Mbowe ni kufanya maridhiano na Lissu, asisubiri aibu kuu siku ya uchaguzi

Inawajua wapiga kura wa Chadema wa kumchangua Mwenyekiti Taifa? Kwa taarifa yako, Mbowe alianza kuweka watu wake tangu chaguzi za awali ndani ya chama. Lissu amekuwa kushtuka ngazi ya Kanda baada ya watu wake wote kuenguliwa! Ahahahahaha!!

Hata Workmate wangu Wenje kutangaza kugombea Umakamu Mwenyekiti ni process ile ile ya kumuondoa Lissu na watu wake. Mbowe kachanga karata zake vizuri na Lissu kaingia kwenye mfumo! Ahahahahaha!!

Baada ya uchaguzi, kuna watu watajifanya wamejitoa Chadema na maneno kibao, lakini chama kitabaki kama TLP, CUF, CCM, CHAUMA na vinginevyo ila Lissu atakuwa kwishne labda aanzishe chama chake!!!
Issue sio Mbowe kushinda, issue ni mustakabali wa Chadema mkuu, ndo kinachotazamwa. Yeye atashinda kura za wajumbe ila ajue kwamba Lissu ndo ana mustakabali wa Chadema mpya
 
Trust me akishinda Mbowe zaidi ya 50% ya wana chadema wataacha kupiga kura wala kushiriki mikutano. Mtu anayeweza leta amsha amsha mpya kwa upinzani ni Lissu pekee. Hili mbona liko wazi sijui kwanini nyie mashabiki wa Mbowe hamuoni.

Same to Lipumba ilikua wasi Seif alikua ana ushawishi zaidi ila akalazimisha sasa CUF imekufa kapata nini? Ona Mbatia na NCCR? Mbowe akilazimisha basi ajue atakataliwa wazi wazi hadi apinduliwe.
Hata hiyo 50% umempendelea, impact yake itakuwa ni kubwa sana
 
Ni hivi, ni kipi Tundu Lisu anataka kufanya ndani ya cdm akiwa mwenyekiti ameshakisema, ni juu ya wajumbe kuamua watakavyo, lakini kwa mahitaji ya wakati Tundu Lisu ndio sahihi. Nyie wajumbe mpeni Mbowe ni haki yenu, lakini akishinda Mbowe cdm itakuwa kama TLP. Hakuna kitu kobaya kama kupambana na wakati.
Umemalizia vizuri kabisa. Tatizo ni nyakati tulizopo ndo zinamkataa Mbowe. Sio kwamba Mbowe ni mbaya, ila nyakati hizi sio sahihi kwake kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani.

Taifa linavyokuwa kwenye mkwamo wa kidemokrasia, halafu wewe mwenyekiti unaendelea kuwalamba miguu hao hao watesi maana yake ni kwamba umeshindwa kusoma alama za nyakati na unafaa kupumzika.
 
Huu ndio ukweli wenyewe, na wajumbe watakaokuwa na jukumu la kufanya kazi hii bila shaka wanao uelewa huu vizuri vichwani mwao na siyo kwenye matumbo yao.
Na hapa ndipo busara ya wajumbe inapaswa kujionesha, ikiwa wanaweza kutafsiri na kufanya maamuzi kufuatana na mtizamo wa wapenzi na mashabiki wao
 
Wajiunge kwa Mbowe? Haupo serious kabisa. Vijana wengi wanakimbilia CCM sababu wanajua kupata uongozi au teuzi ni mteremko kuliko upinzani maana hauna assurance. Sasa hii perception sio nzuri inahitaji tubadili upepo ili vijana wakimbilie chadema kama enzi zile za 2009-13 ambapo kadi za chadema ziligombaniwa kila kona.

Na mtu pekee kuwezesha hilo ni Tundu Lissu.
Na shida kubwa sana, kuna vijana wamepotea wengine wametiwa ulemavu kwasababu ya Chadema, kumbe mwenyekiti yupo na maridhiano ya siri huku wao wakichezea za ugoko. Unadhani ni kijana gani tena atakuwa tayari kufa kwa ajili ya chama?
 
Wajiunge kwa Mbowe? Haupo serious kabisa. Vijana wengi wanakimbilia CCM sababu wanajua kupata uongozi au teuzi ni mteremko kuliko upinzani maana hauna assurance. Sasa hii perception sio nzuri inahitaji tubadili upepo ili vijana wakimbilie chadema kama enzi zile za 2009-13 ambapo kadi za chadema ziligombaniwa kila kona.

Na mtu pekee kuwezesha hilo ni Tundu Lissu.
Ahahahahaha!!!
 
Mbowe anazungumzia maridhiano na CCM na Samia, ila kwa hali ilivyo sasa, hiyo nguvu ya kuridhiana na CCM aitumie kuridhiana na Tundu Lissu, tena afanya hivyo walau wiki mbili kabla ya uchaguzi, na baada ya hayo maridhiano, atangaze kujitoa kugombea na kumuunga mkono Tundu Lissu.

Hiyo kwangu ndo karata nzito aliyobakiwa nayo Freeman Mbowe ambayo itampa ushindi wa kustaafu kwa heri ndani ya chama.

Kuna member mmoja JamiiForums ameweka vizuri sana kwamba, 'Huu uchaguzi wa sasa wa Chadema, ni uchaguzi mmoja ambao una chaguzi mbili ndani yake kwa wakati mmoja, kwasababu ni uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti na pia ni uchaguzi wa kuchagua mustakabali wa Chadema.'

Public sentiment tayari inaonesha Tundu Lissu ana support nzito sana ya wapenzi na mashabiki, hivo Tundu Lissu amebeba mustakabali wa CHADEMA.

Mbowe ana uwezo wa kifedha ku force kupata kura za wajumbe kwa namna anayojua yeye, ila baada ya hapo, ategemee uwanja usio na mashabiki. Nyakati za siasa za sasa zimebadilika sana kiasi kwamba, Mbowe is irrelevant kwenye siasa za hizi nyakati. Inawezekana Mbowe ana leadership skills ila hizi siasa kwa nyakati hizi, zinamuhitaji zaidi TAL, na hichi ndicho angetakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kuchukua fomu kwa mara ya tano.

Wakati haupo upande wa Mbowe kwa sasa
Wale wapambe wa mkopo kutokq kwa jirani wapo kazini kumpasupport mipango yao iweze kutimia.
 
Mbowe hata akishindwa atapata heshima kuwa ni kiongozi pekee wa chama cha siasa aliyekubali kushindana na mtu mwenye nguvu na aliposhindwa, alikubali kushindwa. Akishindwa atabakia kuwa mjumbe wa Kamati Kuu wa kudumu. Kama mshindi atakuwa na akili atahakikisha anamtunzia heshima ili asikipasue chama zaidi maana Mbowe nae ana wafuasi wake ndani ya chama. Ni win win situation kwa Mbowe.

Amandla...
 
We mikopo Consultant tusubiri sanduku la kura ! Sasa uliona wapi Mwenye Nyumba eti akakaa kitako na mgeni kujadili eti aondoke au abaki katika nyumba ?? N auliona wapi mpangaji akampa masharti mwenye nyumba wake ??
Kwa CHADEMA Lissu ni mpangaji tu hawezi kujadiliana suala la nyumba na mwenyewe hata kidogo.
Sasa hilo suala la kuridhiana na Lissu waridhiane nini ??
 
Mbowe anazungumzia maridhiano na CCM na Samia, ila kwa hali ilivyo sasa, hiyo nguvu ya kuridhiana na CCM aitumie kuridhiana na Tundu Lissu, tena afanya hivyo walau wiki mbili kabla ya uchaguzi, na baada ya hayo maridhiano, atangaze kujitoa kugombea na kumuunga mkono Tundu Lissu.

Hiyo kwangu ndo karata nzito aliyobakiwa nayo Freeman Mbowe ambayo itampa ushindi wa kustaafu kwa heri ndani ya chama.

Kuna member mmoja JamiiForums ameweka vizuri sana kwamba, 'Huu uchaguzi wa sasa wa Chadema, ni uchaguzi mmoja ambao una chaguzi mbili ndani yake kwa wakati mmoja, kwasababu ni uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti na pia ni uchaguzi wa kuchagua mustakabali wa Chadema.'

Public sentiment tayari inaonesha Tundu Lissu ana support nzito sana ya wapenzi na mashabiki, hivo Tundu Lissu amebeba mustakabali wa CHADEMA.

Mbowe ana uwezo wa kifedha ku force kupata kura za wajumbe kwa namna anayojua yeye, ila baada ya hapo, ategemee uwanja usio na mashabiki. Nyakati za siasa za sasa zimebadilika sana kiasi kwamba, Mbowe is irrelevant kwenye siasa za hizi nyakati. Inawezekana Mbowe ana leadership skills ila hizi siasa kwa nyakati hizi, zinamuhitaji zaidi TAL, na hichi ndicho angetakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kuchukua fomu kwa mara ya tano.

Wakati haupo upande wa Mbowe kwa sasa
Wanachama tuna wazoom, Mbowe atapigwa kipigo cha Mbwa koko. Mda mwalim
 
Wapambe, wakati mwingine ni watu wabaya sana. Wamemdanganya kuwa anakubalika. Lakini ukweli ni kwamba kuendelea kwake kuwa mwenyekiti wa Chadema, wapambe ndio watakuwa wanufaika wakuu, huku uhai wa chama ukiwa mashakani.
 
Mbowe anazungumzia maridhiano na CCM na Samia, ila kwa hali ilivyo sasa, hiyo nguvu ya kuridhiana na CCM aitumie kuridhiana na Tundu Lissu, tena afanya hivyo walau wiki mbili kabla ya uchaguzi, na baada ya hayo maridhiano, atangaze kujitoa kugombea na kumuunga mkono Tundu Lissu.

Hiyo kwangu ndo karata nzito aliyobakiwa nayo Freeman Mbowe ambayo itampa ushindi wa kustaafu kwa heri ndani ya chama.

Kuna member mmoja JamiiForums ameweka vizuri sana kwamba, 'Huu uchaguzi wa sasa wa Chadema, ni uchaguzi mmoja ambao una chaguzi mbili ndani yake kwa wakati mmoja, kwasababu ni uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti na pia ni uchaguzi wa kuchagua mustakabali wa Chadema.'

Public sentiment tayari inaonesha Tundu Lissu ana support nzito sana ya wapenzi na mashabiki, hivo Tundu Lissu amebeba mustakabali wa CHADEMA.

Mbowe ana uwezo wa kifedha ku force kupata kura za wajumbe kwa namna anayojua yeye, ila baada ya hapo, ategemee uwanja usio na mashabiki. Nyakati za siasa za sasa zimebadilika sana kiasi kwamba, Mbowe is irrelevant kwenye siasa za hizi nyakati. Inawezekana Mbowe ana leadership skills ila hizi siasa kwa nyakati hizi, zinamuhitaji zaidi TAL, na hichi ndicho angetakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kuchukua fomu kwa mara ya tano.

Wakati haupo upande wa Mbowe kwa sasa
Mbowe amedanganywa Sana na machawa wake, hakupaswa kuchukua fomu Bali alipaswa kustaafu rasmi na kubaki rasmi kama mzee mstaafu na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu wa chama
 
Ndo inavyotakiwa hivo, mambo ya siri siri hayatakiwi kabisa. TAL anaonesha mifano mizuri sana, hiyo ndiyo namna hata serikali inapaswa kuwa.

Mambo ya sirini hayana uwajibikaji
Unaweka mambo ya chama Siri, je ukishika serikali utafanyaje?lissu Yuko smart sana
 
Chama hata kipendwe vipi kama hakina pesa za kujiendesha ni kazi bure. Wagombea itabidi waulizwe watapata wapi pesa za kukiendesha chama? Mbowe ameonyesha kuwa ana uwezo wa kuzipata. Ukweli ni kuwa wachangiaji wengi wa CDM wasingependa majina yao yajulikane. Haswa wale wanaofanya biashara na serikali au wamo serikalini. Hawa wanajua wakimpa mchango wao anaweza kuufikisha bila kuwataja. Mbowe akitoa milioni 10 hamna atakayemuuliza amezitoa wapi. Sidhani kama watakuwa na imani hiyo kwa Lissu ambae amesema hataki siri. Kwa sababu hiyo atapata changamoto katika kuzikusanya. Hali hio inaweza kuwafanya baadhi ya wajumbe kumpigia kura Mbowe hata kama wanaelemea kwa Lissu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom