Karata nzuri iliyobaki kwa Mbowe ni kufanya maridhiano na Lissu, asisubiri aibu kuu siku ya uchaguzi

Karata nzuri iliyobaki kwa Mbowe ni kufanya maridhiano na Lissu, asisubiri aibu kuu siku ya uchaguzi

Inawajua wapiga kura wa Chadema wa kumchangua Mwenyekiti Taifa? Kwa taarifa yako, Mbowe alianza kuweka watu wake tangu chaguzi za awali ndani ya chama. Lissu amekuwa kushtuka ngazi ya Kanda baada ya watu wake wote kuenguliwa! Ahahahahaha!!

Hata Workmate wangu Wenje kutangaza kugombea Umakamu Mwenyekiti ni process ile ile ya kumuondoa Lissu na watu wake. Mbowe kachanga karata zake vizuri na Lissu kaingia kwenye mfumo! Ahahahahaha!!

Baada ya uchaguzi, kuna watu watajifanya wamejitoa Chadema na maneno kibao, lakini chama kitabaki kama TLP, CUF, CCM, CHAUMA na vinginevyo ila Lissu atakuwa kwishne labda aanzishe chama chake!!!
Mkuu Mbowe Kachanga karata zake vibaya sana na ndo anguko la Chadema lilianzia hapo

Kuwaweka Pembeni/kuwaengua watu wenye uwezo mkubwa na ushawishi kisiasa ni pigo kwa Chama, Mbowe kaweka watu wenye uwezo na ushawishi mdogo kisiasa, Huwezi kuwafanyis fitina watu kama Lema,msigwa,heche na Lissu kisa tu walipinga maridhiano

Mbowe anataka kuweka watu wa kuitikia ndiyo mbwana mkubwa, Mbowe anakiua chama kwa Mikono yake Mwenyewe

Heche na Lema wana uwezo wa kwenda Mkoa wowote wakajaza mkutano, Devota Minja na Bonfasi Jacobo uwezo huo hawana labda kwenye mikoa yao kidogo wanawez kupata watu wachache
 
Uwezo unaanzia kwenye kuwashawishi wapiga kura. Kama mtu kagombea na kashindwa au kaacha kugombea kosa la nani?
 
Uwezo unaanzia kwenye kuwashawishi wapiga kura. Kama mtu kagombea na kashindwa au kaacha kugombea kosa la nani?
Pesa za Abduli na mama yake ndo zimeshawishi wapiga kura huko kwenye Kanda uchaguzi wa Msigwa na Sugu uliwafumbua macho wote na ule wa wenje na pambalu mpaka pambalu akaamua kujitoa

Pesa chafu/rushwa imeshaingia ndani ya Chama na wanootuhumiwa ndo hao walioko upande wa Mwenyekiti FAM, Mbowe hawezi tena KuFiX hili swala
 
Mbowe amekuwa na pesa tangu anaingia kwenye uwenyekiti 2004. Kabla ya hapo alitumia pesa zake na ushawishi wake kuwaleta chamani Lissu na Zitto. Napo alikuwa na pesa chafu?
 
Mbowe anazungumzia maridhiano na CCM na Samia, ila kwa hali ilivyo sasa, hiyo nguvu ya kuridhiana na CCM aitumie kuridhiana na Tundu Lissu, tena afanya hivyo walau wiki mbili kabla ya uchaguzi, na baada ya hayo maridhiano, atangaze kujitoa kugombea na kumuunga mkono Tundu Lissu.

Hiyo kwangu ndo karata nzito aliyobakiwa nayo Freeman Mbowe ambayo itampa ushindi wa kustaafu kwa heri ndani ya chama.

Kuna member mmoja JamiiForums ameweka vizuri sana kwamba, 'Huu uchaguzi wa sasa wa Chadema, ni uchaguzi mmoja ambao una chaguzi mbili ndani yake kwa wakati mmoja, kwasababu ni uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti na pia ni uchaguzi wa kuchagua mustakabali wa Chadema.'

Public sentiment tayari inaonesha Tundu Lissu ana support nzito sana ya wapenzi na mashabiki, hivo Tundu Lissu amebeba mustakabali wa CHADEMA.

Mbowe ana uwezo wa kifedha ku force kupata kura za wajumbe kwa namna anayojua yeye, ila baada ya hapo, ategemee uwanja usio na mashabiki. Nyakati za siasa za sasa zimebadilika sana kiasi kwamba, Mbowe is irrelevant kwenye siasa za hizi nyakati. Inawezekana Mbowe ana leadership skills ila hizi siasa kwa nyakati hizi, zinamuhitaji zaidi TAL, na hichi ndicho angetakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kuchukua fomu kwa mara ya tano.

Wakati haupo upande wa Mbowe kwa sasa
Ni msikivu atafanya
 
Back
Top Bottom