Karata nzuri iliyobaki kwa Mbowe ni kufanya maridhiano na Lissu, asisubiri aibu kuu siku ya uchaguzi

Mkuu Mbowe Kachanga karata zake vibaya sana na ndo anguko la Chadema lilianzia hapo

Kuwaweka Pembeni/kuwaengua watu wenye uwezo mkubwa na ushawishi kisiasa ni pigo kwa Chama, Mbowe kaweka watu wenye uwezo na ushawishi mdogo kisiasa, Huwezi kuwafanyis fitina watu kama Lema,msigwa,heche na Lissu kisa tu walipinga maridhiano

Mbowe anataka kuweka watu wa kuitikia ndiyo mbwana mkubwa, Mbowe anakiua chama kwa Mikono yake Mwenyewe

Heche na Lema wana uwezo wa kwenda Mkoa wowote wakajaza mkutano, Devota Minja na Bonfasi Jacobo uwezo huo hawana labda kwenye mikoa yao kidogo wanawez kupata watu wachache
 
Uwezo unaanzia kwenye kuwashawishi wapiga kura. Kama mtu kagombea na kashindwa au kaacha kugombea kosa la nani?
 
Uwezo unaanzia kwenye kuwashawishi wapiga kura. Kama mtu kagombea na kashindwa au kaacha kugombea kosa la nani?
Pesa za Abduli na mama yake ndo zimeshawishi wapiga kura huko kwenye Kanda uchaguzi wa Msigwa na Sugu uliwafumbua macho wote na ule wa wenje na pambalu mpaka pambalu akaamua kujitoa


Pesa chafu/rushwa imeshaingia ndani ya Chama na wanootuhumiwa ndo hao walioko upande wa Mwenyekiti FAM, Mbowe hawezi tena KuFiX hili swala
 
Mbowe amekuwa na pesa tangu anaingia kwenye uwenyekiti 2004. Kabla ya hapo alitumia pesa zake na ushawishi wake kuwaleta chamani Lissu na Zitto. Napo alikuwa na pesa chafu?
 
Ni msikivu atafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…