Uchaguzi 2020 Karata ya mwisho ya CCM ni kuahirisha uchaguzi na sio kuiba kura

Uchaguzi huu tofauti Sana na chaguzi zilizopita
Miaka mitano hii
Tumezika wengi
Wamefikisiwa wengi
Wamefungwa wengi
Wamebomokewa wengi
Hela za wahanga wa tetemeko
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
We have nothing to loose
Jiwe akicheza atajuta
Tumekata tamaa liwalo na liwe
 
Hicho ndicho kinachoipa kiwewe CCM.
 
Hivi mnaposema ccm ina mtaji wake wa wanachama huwa mnatumia akili kuongea au mnaimba tu kama kasuku? Huo mtaji ni maroboti wasio na utashi wa kuhama chama wanapoona dhuluma inafanyika. Au ukiwa ccm huwezi kuhama chama hata kama unadhulumiwa?
CCM tunamitaji mingi
1 mabashite wa kutosha
2 film stars X GWAJI
3 Mayanga construction co. LTD
4Wasanii
5 wapwa wenye funguo za hazina
6 kiwanja chato
7 hekta 25000 kule karagwe
8 wauaji wasio julikana
9 NEC
10 Msajili wa vyama
11 wanafunzi wanaojaa kwenye kampeni 12 wapenda mziki wanakuja kwenye fiesta
Nk nk nk
Ddduuuh
Hio ni 1% ya watanzania lakini tutashinda
Anyway tunamtaji nyie wapinzani hamna bashite wala NEC
SOMETHING IS BETTER THAN NOTHING
 
Mambo magumu Mpaka Jiwe anawaomba msamaha aliowaita wapumbafu sio mchezo .
 
Macho madogo wapo nyuma ya hii kitu.
 
Aisee,kumbe ndo maana wamemuweka Mahera mtaalam Wa hesabu.
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Kiki zenu za mwisho mwisho, kuku hata umkate kichwa bado atajaribu kukimbia.
 
Wamuue mgombea mmoja ili uchaguzi uahirishwe
 
Nimejaribu kujifanya mimi ni ccm damu damu nikapita mitaa miwili mitatu kupiga story na "wanangu" kuhusu "mafanikio" ya John, nikawaambia tarehe28 tumpe mitano tena! Loh kilichonitokea najuta hata maigizo niliyofanya! Nilitimuliwa mbio kama mwizi, nimerudi baadae kuja kuwaambia wanangu enh mimi mwenzenu bhana, nilikuwa natest tu zali kama huku kijijini napo hamumuelewi "dikteta", wana wamekuwa wagumu kunielewa mpaka imebidi niwaoneshe magroup yote ya whatsapp niliyopo kwenye simu na uchangiaji wangu, na vile mimi ni "poti" basi bado wana mashaka namimi kama kweli naweza kusapoti haki na usawa ambao tumekuwa tukiwanyima wananchi kwa kutumikishwa na majizi ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…