Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😝au atauawa
Uchaguzi huu tofauti Sana na chaguzi zilizopitaCCM ilianza mapema kutafuta kura, ilianza na mbinu ya kuzuia vyama vingine na wagombea wao kujitangaza akabaki Magufuli peke yake, ikaja na mbinu ya kununua wapinzani waliyoshauriwa na Polepole na KM Bashiru, CCM ikautumia uchaguzi wa serikali za Mitaa kuwahujumu wapinzani.
CCM walijua wagombea threat kwao ni Lissu na Seif wala sio Membe, ndio maana waliposikia Lissu atarudi na atagombea wakaanza kumtisha kuwa akifika ataishia gerezani au atauawa na mahasimu wake, wakasema hata akiteuliwa na chama chake NEC itamuengua, mbinu zote hizo zimeshindwa.
Ili kuwapunguza nguvu wapinzani NEC/ZEC wakaja na mbinu ya kuwaengua baadhi ya wagombea sasa wameaanza kuwazuia wasifanye kampeni, najua hii nayo itashindwa kama ilivyoshindwa ya kuwazuia wapinzani kwa miaka 5.
Safari hii chochote wanachokianzisha kinaonekana kushindwa ikiwa ni pamoja na kutoa matamko mbalimbali kupitia vyombo vya serikali.
Mbinu ya mwisho ya CCM ya kizamani wanayoitegemea ni kuiba kura, lkn nawatahadharisha CCM na NEC, safari hii zoezi hilo litakuwa gumu sana, daftari liko wazi kwenye mitandao wanachoongeza kinaonekana wazi kwa wananchi.
Jumuiya za kimataifa zinafuatia kwa karibu sana uchaguzi huu, wasifanye kosa hilo linaweza kubadili kabisa historia ya Tanzania.
Nimeshiriki chaguzi zote tangu za kuchagua Nyumba na Trekita baadaye ule wa Picha na Kivuli, binafsi naona Mbinu ya mwisho kabisa ambayo angalau itakuwa salama kwa CCM ni kuahirisha uchaguzi na kujipanga upya.
We can't breatheMnagaragazwa asubuhi na mapema awamu hii, iyo namba yenu mtaisoma kinyumenyume sasa.
Wananchi wamekuchokeniiii.. Mnawapa madhila tuu kwenye nchi yao wenyewe
Hicho ndicho kinachoipa kiwewe CCM.Uchaguzi huu tofauti Sana na chaguzi zilizopita
Miaka mitano hii
Tumezika wengi
Wamefikisiwa wengi
Wamefungwa wengi
Wamebomokewa wengi
Hela za wahanga wa tetemeko
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
We have nothing to loose
Jiwe akicheza atajuta
Tumekata tamaa liwalo na liwe
CCM tunamitaji mingiHivi mnaposema ccm ina mtaji wake wa wanachama huwa mnatumia akili kuongea au mnaimba tu kama kasuku? Huo mtaji ni maroboti wasio na utashi wa kuhama chama wanapoona dhuluma inafanyika. Au ukiwa ccm huwezi kuhama chama hata kama unadhulumiwa?
Macho madogo wapo nyuma ya hii kitu.Hawatoahirisha Uchaguzi. Wanachoweza kufanya ni kile alichofanya Kenyatta hapo Kenya: Inapigwa model na calibrated equation ambapo kila kura moja ya Lissu, kwa Magufuli inamultiply let say by 1.7
Ni bora kuomba ushauri wa Maalim Seif. Mwaka 2015 aliwakalia kooni na ilibidi uharamia wa ajabu sana ufanyike ili kuokoa jahazi lao
Aisee,kumbe ndo maana wamemuweka Mahera mtaalam Wa hesabu.Hawatoahirisha Uchaguzi. Wanachoweza kufanya ni kile alichofanya Kenyatta hapo Kenya: Inapigwa model na calibrated equation ambapo kila kura moja ya Lissu, kwa Magufuli inamultiply let say by 1.7
Ni bora kuomba ushauri wa Maalim Seif. Mwaka 2015 aliwakalia kooni na ilibidi uharamia wa ajabu sana ufanyike ili kuokoa jahazi lao
Kiki zenu za mwisho mwisho, kuku hata umkate kichwa bado atajaribu kukimbia.Hakuna kuahirisha Uchaguzi na ushindi wa Ccm ni 98%
Kiki zenu za mwisho mwisho, kuku hata umkate kichwa bado atajaribu kukimbia.
Wamuue mgombea mmoja ili uchaguzi uahirishweCCM ilianza mapema kutafuta kura, ilianza na mbinu ya kuzuia vyama vingine na wagombea wao kujitangaza akabaki Magufuli peke yake, ikaja na mbinu ya kununua wapinzani waliyoshauriwa na Polepole na KM Bashiru, CCM ikautumia uchaguzi wa serikali za Mitaa kuwahujumu wapinzani.
CCM walijua wagombea threat kwao ni Lissu na Seif wala sio Membe, ndio maana waliposikia Lissu atarudi na atagombea wakaanza kumtisha kuwa akifika ataishia gerezani au atauawa na mahasimu wake, wakasema hata akiteuliwa na chama chake NEC itamuengua, mbinu zote hizo zimeshindwa.
Ili kuwapunguza nguvu wapinzani NEC/ZEC wakaja na mbinu ya kuwaengua baadhi ya wagombea sasa wameaanza kuwazuia wasifanye kampeni, najua hii nayo itashindwa kama ilivyoshindwa ya kuwazuia wapinzani kwa miaka 5.
Safari hii chochote wanachokianzisha kinaonekana kushindwa ikiwa ni pamoja na kutoa matamko mbalimbali kupitia vyombo vya serikali.
Mbinu ya mwisho ya CCM ya kizamani wanayoitegemea ni kuiba kura, lkn nawatahadharisha CCM na NEC, safari hii zoezi hilo litakuwa gumu sana, daftari liko wazi kwenye mitandao wanachoongeza kinaonekana wazi kwa wananchi.
Jumuiya za kimataifa zinafuatia kwa karibu sana uchaguzi huu, wasifanye kosa hilo linaweza kubadili kabisa historia ya Tanzania.
Nimeshiriki chaguzi zote tangu za kuchagua Nyumba na Trekita baadaye ule wa Picha na Kivuli, binafsi naona Mbinu ya mwisho kabisa ambayo angalau itakuwa salama kwa CCM ni kuahirisha uchaguzi na kujipanga upya.
Kama walivyofanya 2005.Wamuue mgombea mmoja ili uchaguzi uahirishwe
Nimejaribu kujifanya mimi ni ccm damu damu nikapita mitaa miwili mitatu kupiga story na "wanangu" kuhusu "mafanikio" ya John, nikawaambia tarehe28 tumpe mitano tena! Loh kilichonitokea najuta hata maigizo niliyofanya! Nilitimuliwa mbio kama mwizi, nimerudi baadae kuja kuwaambia wanangu enh mimi mwenzenu bhana, nilikuwa natest tu zali kama huku kijijini napo hamumuelewi "dikteta", wana wamekuwa wagumu kunielewa mpaka imebidi niwaoneshe magroup yote ya whatsapp niliyopo kwenye simu na uchangiaji wangu, na vile mimi ni "poti" basi bado wana mashaka namimi kama kweli naweza kusapoti haki na usawa ambao tumekuwa tukiwanyima wananchi kwa kutumikishwa na majizi ya ccmCCM ilianza mapema kutafuta kura, ilianza na mbinu ya kuzuia vyama vingine na wagombea wao kujitangaza akabaki Magufuli peke yake, ikaja na mbinu ya kununua wapinzani waliyoshauriwa na Polepole na KM Bashiru, CCM ikautumia uchaguzi wa serikali za Mitaa kuwahujumu wapinzani.