Uchaguzi 2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

Kweli mnajua kutegeneza ndiyo maana Wabelgiji wamemtengeneza Msaliti Lissu.


Una roho ngumu sana. Bosi wako Magufuli pamoja na roho mbaya yake na kiburi lakini ameshalegea anawapigia magoti wananchi huko,na muda si mrefu atamwaga radhi hadhari kutafuta huruma ya wananchi,wananchi ambao akisha waibia kura zao na kufanikiwa kurudi ikulu hatokuwa na huruma nao mwendo ni ule ule wa mateso tena ataongeza ukatili na utesaji wa wananchi,mzee was visasi tunjua hulka zake.
 
Nimenyoosha mikono mnajua kuedit picha. Nilikuwepo Karatu hakuna watu wengi hivyo! Kweli Magufuli ameshashinda anasubiri kuapishwa. Karatu nilikuwepo hakuna watu kama hao wewe muongo mkubwa!
Weka za kwako ulizopiga tuone.
 
karatu umeenda kufanya nini wewe kunguni
 
Hapo utasikia vijana wa uvccm wanajifariji kwamba huo umati wengi wao hawajajiandikisha[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 

Tusichezeshwe ngoma zao. Adui huyu si mwema.
 
Weka hapa hayo manyomi. Hapo wala hatoi hotuba bali anaenda zake Hai kwa kimbunga kingine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ukiona mnavyojifaragua humu unaishia kucheka tu,
Cheki hawa miamba
 
Moto wa LISSU mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA hauximiki!!
Kuna mjinga mmoja toka nzi wa KIJANI anayefikiri Polepole Sana anakiita ati Chama Cha Mbowe!!!
Pambaf....!!
Wewe umeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgiji.

Hawa wakiona mnavyojifaragua humu wanaishia kucheka tu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Kwani wanakimbilia wapi na hiyo spidi, kwanini Magufuli nae wasimkimbize hivyo hivyo?

Hiyo ni janja ya polisi na chama chakavu kumzuia Lissu asiwasalimie watu njiani, mbona Magufuli anasimama kila anapotaka?

Huu ujanja wao wa kizamani safari hii hautawasaidia, watanzania wameshaamua kwa umoja wao mwaka huu #ni yeye

Mambo ya kukimbia hovyo kwenye nchi tunayohubiriwa ni ya amani kila siku yamepitwa na wakati.
 
Hata wewe umeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgijiView attachment 1584816
 

Attachments

  • 20200814_164156.jpg
    123.4 KB · Views: 1
Wapi John Joseph Pombe Magufuli?
Kesha ziona hizi picha? Ajue ya kwamba tarehe 28 Okt, 2020 asbh na mapema atakuwa ameiaga Ikulu[emoji3577][emoji3577]
Lisu bado mtoto mdogo sana yule
 
Karatu ipo Arusha, siyo Manyara.

Mkoa wa Arusha una Wilaya 5: Arusha, Karatu, Longido, Monduli na Arumeru.

Manyara kuna wilaya 5: Mbulu, Hanang, Simanjiro, Kiteto na Babati.

Cc JamiiForums Moderator Mhariri, Paw
 
Na hapo hakuna mabango/picha za Lissu mitaani ukilinganisha na mabango ya yule Mporipori mwenye roho ya kichawi.

Goooo Lissu! Ogopa kukutana na mtu aliyeamka kutoka kwenye usingizi wa mauti, who hanged between heaven and earth. Ana upako wa ajabu!! Gooooo Lissu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…