Uchaguzi 2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

Ningekuwa chadema ningewashauri nguvu zao wazielekeze Karatu, Musoma, iringa ,Mbeya labda na Arusha wakitaimu kabla Lema hajachukua mzigo kwani ameshaanza kulegea na kuuza jimbo kwake sio shida na hata hivyo watu wameshamchoka
 
Chadema acheni kusomba watu kwenye maroli ili muudanganye umma wa watanzania.

Nimewaza kama slut polepole
 
Jane usiwe JUHA, kuna nini hapo cha kuchakachua. Make a release of yourself, relax, otherwise you are going to suffer a heart attack!
Hawezi kusuffer heart attack ,kama ww ambaye huna ufahamu wa mathematics. Katika watu waliohudhuria ni1.Wangapi watapiga kura?2.Wangapi wamejiandikisha?3.Wangapi ,watapigia cdm?Kuwa na mahesabu mkononi,kwa kuwa hizi no issue za hesabu tu.Kama ulisoma history ndio matatizo ya kudai wot e no wapiga kura was cdm.
 
Ningekuwa chadema ningewashauri nguvu zao wazielekeze Karatu, Musoma, iringa ,Mbeya labda na Arusha wakitaimu kabla Lema hajachukua mzigo kwani ameshaanza kulegea na kuuza jimbo kwake sio shida na hata hivyo watu wameshamchoka
Tulia wewe. Humo ndani tunaelewa kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…