Dokta feki wa NEC akiona hii anachanganyikiwaWatawala, kaeni mkijua wananchi mmechoka. Mnayoyafanya ni kuwatia wananchi hasira na kumpandisha Lissu. Polisi, Tiss, Tume ya Uchaguzi, na Msajili. Rudini kwa wananchi kabla ya muda kuisha. Mtajuta sana kwa madhambi yenu maana mwaka huu hakuna kuiba kura
Siku ya kufa kwa nyani kila mtu unateleza. CCM yangu naichinja rasmi kutokana na manyanyaso niliyoyapata chini ya CCM, Polisi na Magufuli...
Hiyo yomi ni ya 1925.....lol
Kama ni la NHC wapangaji wote watafukuzwa wstabakkishwa wale wailkobakisha kutupu tu.Hilo ghorofa juu litaanguka jamani, kuwe na tahadhali!
Kwa mpango huu lazima Mahela afanye figisu kama alivyoanza. The thing to note ni kuitaarifu Jumuiya ya kimataifa kinachoendela waweke ushahidi
Kumzuia huyu msaliti wangemuua maana habari zake sizpend huyu nyambafu naatashndwa tu
kwanza jua TBC haionyeshi mikutano ya chadema kwa sababu inajaza watu bila wasanii,watoto na wanafunziUzuri mikutano ya CCM yote inarushwa live kila mtu anaiona. Kwahiyo ukitaka kuleta propaganda zako hapa unaonekana tu hayawani. CCM nyomi kwao siyo issue kwasbb imezoeleka kila mkutano watu wanajaa, wao wanafocus kwenye kura.
Kwanza mnayo hiyo hela ya kuwalipa TBC wawaonyeshe live? Jana Iringa waliojaa pale ni wanafunzi na watoto?kwanza jua TBC haionyeshi mikutano ya chadema kwa sababu inajaza watu bila wasanii,watoto na wanafunzi
Sasa hivi ni mwendo wa kupiga magoti na sio pushapu!Jamani acheni kurusha picha kama hizi. Mnafanya watu presha inapanda presha inashuka! Ni yeye Tundu Lissu.
ccm ilalipia tbc?nani kasema tbc inalipiwa kurusha matangazo ya kampeni za uchaguzi ?aisee mbona akili zako zipo makalioniKwanza mnayo hiyo hela ya kuwalipa TBC wawaonyeshe live? Jana Iringa waliojaa pale ni wanafunzi na watoto?
Kwani kuna CCM ana ubungo?Wewe ndio bure kabisa!
Bora urudi tu uendelee na ngonjera zako za corona
Weka uthibitisho kama hawalipi, halafu nyinyi watu wa Chadema hivi hamuwezi kujadili bila matusi? Yaani tabia zenu zinafanana mpaka mgombea wenu. Wote midomo yenu ni michafu.ccm ilalipia tbc?nani kasema tbc inalipiwa kurusha matangazo ya kampeni za uchaguzi ?aisee mbona akili zako zipo makalioni
tbc inaporusha kampeni za ADC,Tadea ,au demokrasia makini nani anawalipa ?Weka uthibitisho kama hawalipi, halafu nyinyi watu wa Chadema hivi hamuwezi kujadili bila matusi? Yaani tabia zenu zinafanana mpaka mgombea wenu. Wote midomo yenu ni michafu.
nmemshangaa sana huyu jamaa, kwa mawazo yake anadhania TBC ni mali ya ccm.ccm ilalipia tbc?nani kasema tbc inalipiwa kurusha matangazo ya kampeni za uchaguzi ?aisee mbona akili zako zipo makalioni