Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Mkuu ukitrace nchi yetu utaelewa,wako focused sana Hawa na wanawazaga kutenda makubwa kwa faida ya Taifa.
∆Hamna kitu kigumu na kilikua hatarii kwa maisha Binafsi kama kudai uhuru✓
∆ Hakuna kitu kilikua kigumu sana kuliunganisha Taifa na kuua sumu ya mitazamo ya ukabila na Udini Baada ya Uhuru.
JPM angekua Hai mpaka Leo Taifa lingekua mbali kimiundombinuu sana na speed ya maendeleo eg.mdaa mfupii alimwaga vituo vya afya Kila Kara, stendi Mbezi kama umefika Toronto....BM nae alifanya makubwa sana.
Hivyo kunakitu wanacho wenzetu tusishupaze komwe zetuu mzee

ubora katika lipi? maana changamoto zetu watanzania nizilezile toka tunapata uhuru hadi leo