Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

aache zake hizo.
Anayakuza mambo bure.Baada ya polisi kututoa hofu wala hatuna hofu anazosema.
Wakija kwako kukuchukua utaenda TU kibwegebwege bila kujiridhisha au sio!?
 
Yes Wamesoma tena sana. Utawala wenye Demokrasi aupambani na Raia Waandamanaji ambao wanadai haki zao za msingi kama Katika ya nchi yao invyotaka. Katiba inatoa ruhusa watu kuandamana kwa amani! Kanisa daima linapinga ukiukwaji wa Katiba na haki za binadamu. Lina laani pale watawala wa nchi wanapotaka kurudisha nchi kwenye Utawala wa Chama kimoja wakati tumeshatoka huko 20 yrs back.
Vp maguful yeye alikuwa anapenda democrasia?
Kwa nn alikiuka katiba inayoruhusu mikutano ya siasa
Acheni double standard
Watanzania sio wajinga walikua wanaona ujinga wa jiwe
 
Back
Top Bottom