Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

Aisee,zamani nilikuwa nasoma thread yako yote,lakini siku hizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Najua umejaza uchawa tu.
 
Kadinali mwenye njaa kali kuliko wore, anapita katika maofisi ya umma akiomba omba hela
Wewe huwa una chuki binafsi na watu inayokupofusha akili na macho. Chuki yako na hasira yako ni kwa kuwa umeona wamefika ofisini kwa Mwamba Makonda wakati wewe kila siku unaombea na kutamani mabaya yampate na atolewe hapo alipo. Napenda kukwambia tu kuwa hutafanikiwa hata kidogo na chuki zako. Makonda Mwamba ataendelea kusonga mbele kwa kuwa ameinuliwa na mkono wa Mungu na siyo mwanadamu aina yako
 
Acha mawazo ya kijima na kuwachafua watumishi wa Mungu wanaoendelea kumiminika ofisini kwa Mhessimiwa Makando kumfanyia maombi na kumpa ushauri mbalimbali na maneno katika kuwatumikia wananchi wa Arusha.
Haahaaa umenikumbusha histori ya form one Ujima na sifa zakeee.......Low Tecknology na zingne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…