Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

Kwa
Nilishasema wewe hunaga akili kabisa kichwani mwako. Ona sasa umeanza kutukana hadi viongozi wa Dini bila sababu ya msingi.wewe una laana kubwa sana ndani yako..
Kwahiyo kila akiteuliwa nafasi mpya huombewa upya? Si aliombewa juzi tu hapa alipokuwa mwenezi?
Tunasubiri orodha ya wanaomtukana raisi wetu siyo mama yetu.
 
Kwa

Kwahiyo kila akiteuliwa nafasi mpya huombewa upya? Si aliombewa juzi tu hapa alipokuwa mwenezi?
Tunasubiri orodha ya wanaomtukana raisi wetu siyo mama yetu.
Kama wewe ni mpagani na mwenye kuabudu mizimu huwezi ukaelewa mambo haya.
 
Sawa
 
Si tuliambiwa vya kwake vya kidato vcha nne vina FaFaFa au! lakini itoshe kusema uongozi siyo vyeti, ni karama na kipaji.
Usipende kuwasikiliza na kuwaamini wazushi wanapokuwa wamekosa hoja za kuwashawishi watu kuwaunga mkono.
 
Basi kipindi cha nyuma kidogo nilikuwa nikisikia kardinali nilikuwa natetemeka naheshimu naogopa ila tangu nijue dunia imejaa utapeli mwingi na watu wanatumia dini kujinufaisha nasali kwangu na Mungu wangu.
 
Siku moja utakuja kujutia mawazo yako hayo ya kishetani.utawatafuta watumishi wa Mungu na hutawaona. Usilete utani kwenye mambo ya imani na kiroho.
 
Hili ni Muhimu kwa wacha Mungu , Wachungaji na Maaskofu kulielewa .

Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba Bwana Yesu hakuwahi kujikita kumbariki Mtu mmoja tu milele yote , tena hakuhangaika kumsujudia mwovu yeyote yule kwa sababu ni mtoza ushuru au labda kwa vile ni kuhani .

Enyi Wacha Mungu pamoja wachungaji na Maaskofu msiondoke kwenye mafundisho ya Mungu wa kweli mkachangamana na na Shetani

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…