Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

Angekua ni wa dini zote kungekua na Papa muafrika
SHIDA YAKO UNAJIBAGUA... MBONA HATA MAREKANI MLISEMA HAWEZI KUTOKEA RAIS MWEUSI IKAWAJE KWA OBAMA.

WEWE CHA MSINGI MPOKEE YESU ATAKUFANYA UJUE WANADAMU WOTE TUKO SAWA HIZI RANGI HAZINA MAANA YOYOTE NI KWA KUPENDA KWAKE YESU TU.
 
nadhani ukiingiza siasa kwenye hili la Imani, ni dhahiri utapoteza uelekeo kabsaa, kama yule kijana wenu wa bavicha alie wananga viongozi wa dini yake kwa dhihaka, katika taasisi inayo simamia imani yao,

I can confirm that,
kiboko cha wenye imani ile kunamuhusu vizuri sana kwenye maisha yake ya kisiasa...
 
Hii ni tahadhari tu , hakuna kunangana
 
Yesu alikua ni Don, kulisha wanaume 12 wanafunzi,Tena Kama wakina Yuda sio mchezo, kumbuka alikua na mshika fedha...kazi ya uselemara ilimpa fedha...thus why alipodaiwa Kodi alimtuma mwanafunzi akachukue kwenye mdomo wa samaki(ATM)
 
Pumbavu kabisa
 
Yesu Kristo alikwenda nyumbani kwa Zakayo na kumwambia " Wokovu umeingia nyumbani mwako"

Askofu Dr Shoo aliwapatanisha Mbowe na Makonda

Mufti Abubakar alimkaribisha Shujaa Magufuli kukagua Msikiti mkuu wa Bakwata

Mlale Unono 😂😂🔥🔥
 
Upuuzi mkubwa.
 
SHIDA YAKO UNAJIBAGUA... MBONA HATA MAREKANI MLISEMA HAWEZI KUTOKEA RAIS MWEUSI IKAWAJE KWA OBAMA.

WEWE CHA MSINGI MPOKEE YESU ATAKUFANYA UJUE WANADAMU WOTE TUKO SAWA HIZI RANGI HAZINA MAANA YOYOTE NI KWA KUPENDA KWAKE YESU TU.
Angekua hana ubaguzi angekua na mwanafunzi muafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…