Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Hiyo michezo ndo umeenda kuiendeleza hapo Mombasa, watakufanya vibaya.Kama nami pia na WEWE ULIVYONILAWITI hadi nikaenda Muhimbili kupigwa Bomba?
Tunahitaji Watu wasafi kama Rais Samia Suluhu Hassan.Huyo msafi ni nani ambae anaweza kumnyooshea mwenzie kidole?
Ila Yeye alivyoanza Kunitukana hapo juu hujaona na ulichoona ni Mimi Kumjibu tu huyo Mumeo si ndiyo? Pumbavu na Mnafiki mmoja Wewe.Bwana mdogo hakuna uzi wako usiokuwa na matusi kwanini kijana wangu!
hata kizuri kinakinai
Usafi wa mpa Abdul shareholder wa DP WOLRD TZ?Tunahitaji Watu wasafi kama Rais Samia Suluhu Hassan.
Kama nilivyokufanya Wewe vibaya huku nikikaribia pia kumfanya vibaya hivyo hata Aliyekuzaa.Hiyo michezo ndo umeenda kuiendeleza hapo Mombasa, watakufanya vibaya.
Hiki nicho hasa nilikuwa nakitaka. Ukiwa na Akili Kubwa ni raha sana. Asante Mungu.Usafi wa mpa Abdul shareholder wa DP WOLRD TZ?
Uwe na adabu kwa watumishi wa Mungu na viongozi wetu wa kiroho.Matapeli wamekutana wakitumua jina la Kristo.
Mpiga ramli mleta mada ukatoliki haukubali kupiga ramli wala unabiiKanisa Katoliki Tanzania kwanini mnaacha Makonda anatumia udhaifu wa Uzee unaomsumbua sasa Kadinali Pengo Kujijenga zaidi Kisiasa kwa Maslahi yake ya Ndoto ya kuja kuwa Rais wa Tanzania hasa mwaka 2030? Kanisa langu Katoliki ule Umakini wenu ninaouheshimu mliokuwa nao katika Sakata la DP World mbona siuoni katika huu Upuuzi wa RC Makonda dhidi ya Kadinali Mstaafu Pengo?
Makonda acha kupoteza muda na Kuhangaika hutokuja kuwa Makamu wa Rais au Rais wa Tanzania hata Siku moja Ok?
#Wabongo😀👐Yule Malaika wa kuzimu kabla hajakata roho aliagiza nileteeni Pengo, siyo Gwajima tena.
Naskia kuna wale wanasemaga hawafanyi kazi ya kanisa.......huu mwaka mtamu sanaMimi ni Mkatoliki ila siungi mkono masuala ya aina hii kutoka kwa Maaskofu wangu. Haya mambo ya kujihusisha na wanasiasa, yataleta magawanyiko kwa waumini! Na pia kushusha hazi ya kiti cha uaskofu.
Uwe na heshima kwa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara na kiboko ya wazembe na wavivu.Bashite anapenda sana kiki.
Mkuu Nguruvi3 , serikali ndio haina dini ila watu wake wana dini zao, hakuna ubaya wowote, viongozi wowote wa dini, kumuombea, ofisini kwenye ofisi ya umma, and soon utamshuhudia Mufti, Malasusa, na Yuda Thadei Ruwa Ichi!.
P
Na kweliHiyo michezo ndo umeenda kuiendeleza hapo Mombasa, watakufanya vibaya.
Kardinali mstaafu wa Tanzania.
Ni ngumu kwako lakini watanzania wana amani na furaha sana na nchi yetu kutokana na kutamalaki kwa amani na utulivu ,unaomuwezesha kila mtu kufanya shughuli zake kwa utulivu kabisa.