Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

Kanisa Katoliki Tanzania kwanini mnaacha Makonda anatumia udhaifu wa Uzee unaomsumbua sasa Kadinali Pengo Kujijenga zaidi Kisiasa kwa Maslahi yake ya Ndoto ya kuja kuwa Rais wa Tanzania hasa mwaka 2030? Kanisa langu Katoliki ule Umakini wenu ninaouheshimu mliokuwa nao katika Sakata la DP World mbona siuoni katika huu Upuuzi wa RC Makonda dhidi ya Kadinali Mstaafu Pengo?

Makonda acha kupoteza muda na Kuhangaika hutokuja kuwa Makamu wa Rais au Rais wa Tanzania hata Siku moja Ok?
Mpiga ramli mleta mada ukatoliki haukubali kupiga ramli wala unabii

Naona unejipa kazi ya kupiga ramli na unabii
Kanisa katoliki haliamini hayo yako ya endapo hapi baadaye siku isiyoelewe Makonda ataokana sio msafi.Hizo ni ramli na ramli hazina nafasi kwenye Ukristo
 
Unamkumbuka Enrico de Pedis Boss Mafia la kiitaliano, baada ya Kifo chake alizikwa kwenye makaburi ya ma papa (Popes) vatican (Basilica of Sant’Apollinare) baada ya wakuu wa Vatican kuchukua mkwanja mrefu na pia walikuwa wakimtumia kwenye mishe zao haramu. DIni ni biashara, mwenye dau kubwa ndio anatakaswa
 
Muuaji hata angetembelewa na Papa, haibadilishi ukweli kuwa ni muuaji.

Mtumishi wa Mungu kumfuata mtu mwovu kwa lengo la kumrudi hakuna kosa maana wapo kwaajili ya kuwarudisha kondoo waliopotea kundini mwa Bwana. Kilicho muhimu, je, muuaji Makonda amekubali kufanya toba ya kujutia uovu wake na kuamua kufuata njia ya Mungu? Vinginevyo, atakuwa anafanya usanii kuwaalika watumishi wa Mungu, na yeye kuendelea kuishi kwenye ufalme wa shetani.

"Njooni nyote kwangu mlioelemewa na mizigo ya dhambi, nami nitawapumzisha". Makonda kama anaona ameelemewa na mizigo ya dhambi, na sasa anataka kuitua, atapumzishwa kwa maana Bwana ni mwingi wa rehema na huruma. Anasema kuwa hata ukiwa na dhambi nyekundu kama damu, ukijuta na kuomba msamaha atakusamehe.
 
Mkuu Nguruvi3 , serikali ndio haina dini ila watu wake wana dini zao, hakuna ubaya wowote, viongozi wowote wa dini, kumuombea, ofisini kwenye ofisi ya umma, and soon utamshuhudia Mufti, Malasusa, na Yuda Thadei Ruwa Ichi!.
P

P
Tukianza hivi, tutafungua ' can of worms'

Tutaanza kuona wimbi la maombi na sala maofisini, tutaacha kuwaangalia viongozi kwa utumishi bali imani zao

Kwa mtu mwenye busara hili ni jambo la hatari sana, halifai kufanywa na likemewe. Ni upuuzi kwa lugha rahisi

Mh Rais SSH kemea hili, ukikaa kimya ujiandae na wimbi la Ofisi za Umma kugeuzwa makanisa au Misikiti

Muadhama Polycarp Pengo ., busara zingekuogoza tofauti na ulichofanya.
 
Kardinali mstaafu wa Tanzania.

Wewe kumbe ni mtupu katika mambo mengi!! RC hatuna cheo kinachoitwa kadinali wa Tanzania.

Kadinali hawakilishi nchi, msipende kuandika vitu msivyo na uelewa navyo. Kuna nchi hazina kadinali, kuna nchi zina makadinali zaidi ya 10.
 
Ni ngumu kwako lakini watanzania wana amani na furaha sana na nchi yetu kutokana na kutamalaki kwa amani na utulivu ,unaomuwezesha kila mtu kufanya shughuli zake kwa utulivu kabisa.

Hapo ndipo unaonesha upunguani wako.

Rais Samia alishapinga, na kusema kuwa ni uwongo kudai kuwa watanzania wana furaha.

Kwa akili yako ndogo, ebu tuambie nani ana uelewa zaidi juu ya hali ya watanzania, kati yako na Rais Samia?
 
Back
Top Bottom