Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

Dau iliitwa mdini kwasababu kadhaa wa kadhaa, naomba nisizitaje hapa, rukhsa kuleta kila aina za dua za masheikh hata wa kutoka Mecca, dufu, sadaka, kafara, na albadir, hapana!.
P
Mfumo Kristo is really, haya mambo wangefanya waislamu hapatokalika yataongewa maneno yote.

Anayetaka kuombea aende kanisani au msikitini, huyu Makonda anadekezwa Sana, hata Nchimbi ameliona amesema hataki wachonganishi ccm
 
Ni maelekezo ya anayemlipa, ila boss wake anadharau sana unamsalimiaje kadinal/baba askufu na mkono mmoja? Sio heshima hata kidogo.
Pengo anajivunjia heshima yeye mwenyewe, level ya Askofu huwezi kuwa chawa wa CCM wanaotesa waumini wako.

Pengo arudi nyumbani akasome tena Kitabu cha ufunuo, na amuombe roho mtatikafu amfunulie mpinga Kristo NI Nani atagunduwa ni CCM.

Kitabu cha Ufunuo wa Yohana kiliandikwa Kwa mafumbo baada ya Wakristo kuteswa Sana na Dola la kirumi chini ya Caesar na kupachikwa code name ya mpinga Kristo, Mpinga Kristo wa sasa NI ccm
 
Mkuu Hukumuzuku , heshima kitu cha bure!. JF ni jukwaa adhimu la heshima, adabu na staha!, huna sababu ya kumtukana matusi member yoyote humu
Mode, please do the needful!
P
Mkuu Mayalla, wewe utakuwa ni wakili wa mchongo umevamia fani za watu. Nashauri ujikite kwenye talk show za runinga za kibongobongo za enzi zile ingawa umri sasa umeenda.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda amekuwa akipata vyeo na nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya serikali na chama kwa njia ya maombi kwa Mwenyezi Mungu na hatimaye kujibiwa ,ndio maana ameendelea kujiweka karibu sana na Mungu,ndio maana ameendelea kujinyenyekeza mbela za Mungu na kumuomba Mungu kuendelea kuwa ndani yake na kumtangulia katika kazi zake.

Ndio maana viongozi mbalimbali wa kidini kutoka madhehebu mbalimbali wameendelea kumiminika ofisini kwake kumuombea na kumpa maneno ya hekima na baraka katika utumishi wake, wa kuwatumikia wana Arusha kwa haki na upendo kwa uweza wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe.

Baada ya hapo majuzi Mtumishi wa Mungu Mwamposa kufika Ofisini kwa Mwamba Mwenyewe Makonda kumfanyia maombi na kufanya naye mazungumzo.leo tena kiongozi mwingine na mtumishi wa Mungu aliyewahi kuteuliwa na PAPA kiongozi mkuu wa kanisa katoliki Duniani kuwa Kardinali pekee hapa nchini leo hii ametua kwa kishindo kilichoiteka kanda ya kaskazini.

Huyu ni askofu mstaafu wa jimbo kuu la Dar es salaam Kardinali Pengo.ambapo amefika ofisini kwa kijana wake na kumpongeza sana tena sana na kwa upendo mkubwa kwa heshima kubwa sana aliyoipata ya kuendelea kuaminiwa na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan ya kuongoza mkoa wa Arusha. Sanjari na hayo amemfanyia maombi maalumu ya kumuombea baraka na neema katika uongozi wake.ili jiji liendelee kuwa na amani na utulivu.Kardinali Pengo hakuwa peke yake bali aliambatana na viongozi mbalimbali kutoka kila pembe ya nchi yetu tena wa ngazi za juu kabisa alipowasili ofisini hapo.

Ndugu zangu Watanzania nilishawaambieni sana kuwa acheni kushindana na mwamba Makonda.huyu ni mpango wa Mungu,ameinuliwa na Mungu Mwenyewe.mtahangaika na kushindana naye lakini hamtaweza kumshusha kileleni. Mtavaa na kuvalishwa mahiriizii na kutambika ili mumshushe lakini hamtaweza.mtatoa kila aina ya makafara ,kujichanja kila aina ya madawa na kubaki na chale tupu miilini mwenu utafikiri mlidondokea kwenye kiwanda cha nyembe lakini hamtaweza kumshusha Mwamba Makonda kilele.

Huyu Mwamba analindwa na maombi na mkono wa Mungu Mwenyewe.ndio maana mnaona anavyojiamini kwasababu Mungu yupo ndani yake.na Mungu akiwa ndani yako huwezi kuingia gizani maana yeye ni nuru na mwanga usiozimika. Aliyepewa kapewa tu ndugu zangu.sisi wengine tuendelee na kazi tu kwa kadri Mungu alivyo tupangia. ..

Msaidizi na katibu binafsi wa Mheshimiwa Rais Mheshimiwa Waziri Rajabu amewahi kuandika katika mtandao kuwa usishindane na nyakati zinapokuwa kwa mwenzako .lakini pia heshimu nyakati na wakati unapokuwa kwa mwenzako ili nawe uje uheshimiwe wakati utakapo kuwa upande wako kwakuwa nyakati huzunguka..huu ni wakati wa Mhessimiwa Makonda uliopangwa na Mungu mwenyewe kuwatumikia watanzania.tumuache afanye kazi na tuache Majungu ndugu zangu.

Mimi sinaga wivu kumpongeza mtu anayefanya vizuri.ndio maana inafika wakati watu wananiita chawa wa mtu fulani na wengine wakifikia hadi hatua kufikiri kuwa nalipwa.mimi ukifanya vizuri huwa sina hiyana kukupongeza,.ndio maana huwa nampongeza sana Mheshimiwa Rais kwa uchapa kazi wake. Makonda ni mchapa kazi sana ndio maana nampongeza kwa uchapa kazi wake, uzalendo na ubunifu wake katika kutekeleza majukumu yake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

PIA, SOMA:
Zamani nilikuwa nikisikia viongozi wa dini nilikuwa naamini wote ni wa maana, sikujua kama Kuna washirikina wengi hivyo.
 
Pengo anajivunjia heshima yeye mwenyewe, level ya Askofu huwezi kuwa chawa wa CCM wanaotesa waumini wako.

Pengo arudi nyumbani akasome tena Kitabu cha ufunuo, na amuombe roho mtatikafu amfunulie mpinga Kristo NI Nani atagunduwa ni CCM.

Kitabu cha Ufunuo wa Yohana kiliandikwa Kwa mafumbo baada ya Wakristo kuteswa Sana na Dola la kirumi chini ya Caesar na kupachikwa code name ya mpinga Kristo, Mpinga Kristo wa sasa NI ccm
Nenda na wewe ukaombewe kama unataka.
 
Acha kuwadhalilisha viongozi wetu wa Dini kwa kuwachukulia ni wajinga kama ulivyo wewe na ujinga wako.
Punguani unasamehewa kwa kauli yoyote ile kwa sababu wewe ni maskini sa akili nafsi ya moyo. Naamini hukuchagua kuwa hivyo na wala hujitambui.

Masikitiko makubwa kwa wazazi na ndugu zako ambao wangefarijika sana kama wangempata mtoto mwenye hekima, lakini bahati mbaya wakakupata wewe.
 
Nimeacha nafasi uweka yako ndugu yangu.

Naona hajui kuwa lengo lako la kubandika nambà ulikwishalifikia. Hajui kuwa ule upupu unaouweka hapa kwako ni ajira, na ni matokeo ya kubandika namba yako hapa julwaani.
 
Naona hajui kuwa lengo lako la kubandika nambà ulikwishalifikia. Hajui kuwa ule upupu unaouweka hapa kwako ni ajira, na ni matokeo ya kubandika namba yako hapa julwaani.
Acha uzushi wako Bams
 
Punguani unasamehewa kwa kauli yoyote ile kwa sababu wewe ni maskini sa akili nafsi ya moyo. Naamini hukuchagua kuwa hivyo na wala hujitambui.

Masikitiko makubwa kwa wazazi na ndugu zako ambao wangefarijika sana kama wangempata mtoto mwenye hekima, lakini bahati mbaya wakakupata wewe.
Sawa nashukuru kwa mawazo yako na mtizamo wako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda amekuwa akipata vyeo na nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya serikali na chama kwa njia ya maombi kwa Mwenyezi Mungu na hatimaye kujibiwa ,ndio maana ameendelea kujiweka karibu sana na Mungu,ndio maana ameendelea kujinyenyekeza mbela za Mungu na kumuomba Mungu kuendelea kuwa ndani yake na kumtangulia katika kazi zake.

Ndio maana viongozi mbalimbali wa kidini kutoka madhehebu mbalimbali wameendelea kumiminika ofisini kwake kumuombea na kumpa maneno ya hekima na baraka katika utumishi wake, wa kuwatumikia wana Arusha kwa haki na upendo kwa uweza wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe.

Baada ya hapo majuzi Mtumishi wa Mungu Mwamposa kufika Ofisini kwa Mwamba Mwenyewe Makonda kumfanyia maombi na kufanya naye mazungumzo.leo tena kiongozi mwingine na mtumishi wa Mungu aliyewahi kuteuliwa na PAPA kiongozi mkuu wa kanisa katoliki Duniani kuwa Kardinali pekee hapa nchini leo hii ametua kwa kishindo kilichoiteka kanda ya kaskazini.

Huyu ni askofu mstaafu wa jimbo kuu la Dar es salaam Kardinali Pengo.ambapo amefika ofisini kwa kijana wake na kumpongeza sana tena sana na kwa upendo mkubwa kwa heshima kubwa sana aliyoipata ya kuendelea kuaminiwa na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan ya kuongoza mkoa wa Arusha. Sanjari na hayo amemfanyia maombi maalumu ya kumuombea baraka na neema katika uongozi wake.ili jiji liendelee kuwa na amani na utulivu.Kardinali Pengo hakuwa peke yake bali aliambatana na viongozi mbalimbali kutoka kila pembe ya nchi yetu tena wa ngazi za juu kabisa alipowasili ofisini hapo.

Ndugu zangu Watanzania nilishawaambieni sana kuwa acheni kushindana na mwamba Makonda.huyu ni mpango wa Mungu,ameinuliwa na Mungu Mwenyewe.mtahangaika na kushindana naye lakini hamtaweza kumshusha kileleni. Mtavaa na kuvalishwa mahiriizii na kutambika ili mumshushe lakini hamtaweza.mtatoa kila aina ya makafara ,kujichanja kila aina ya madawa na kubaki na chale tupu miilini mwenu utafikiri mlidondokea kwenye kiwanda cha nyembe lakini hamtaweza kumshusha Mwamba Makonda kilele.

Huyu Mwamba analindwa na maombi na mkono wa Mungu Mwenyewe.ndio maana mnaona anavyojiamini kwasababu Mungu yupo ndani yake.na Mungu akiwa ndani yako huwezi kuingia gizani maana yeye ni nuru na mwanga usiozimika. Aliyepewa kapewa tu ndugu zangu.sisi wengine tuendelee na kazi tu kwa kadri Mungu alivyo tupangia. ..

Msaidizi na katibu binafsi wa Mheshimiwa Rais Mheshimiwa Waziri Rajabu amewahi kuandika katika mtandao kuwa usishindane na nyakati zinapokuwa kwa mwenzako .lakini pia heshimu nyakati na wakati unapokuwa kwa mwenzako ili nawe uje uheshimiwe wakati utakapo kuwa upande wako kwakuwa nyakati huzunguka..huu ni wakati wa Mhessimiwa Makonda uliopangwa na Mungu mwenyewe kuwatumikia watanzania.tumuache afanye kazi na tuache Majungu ndugu zangu.

Mimi sinaga wivu kumpongeza mtu anayefanya vizuri.ndio maana inafika wakati watu wananiita chawa wa mtu fulani na wengine wakifikia hadi hatua kufikiri kuwa nalipwa.mimi ukifanya vizuri huwa sina hiyana kukupongeza,.ndio maana huwa nampongeza sana Mheshimiwa Rais kwa uchapa kazi wake. Makonda ni mchapa kazi sana ndio maana nampongeza kwa uchapa kazi wake, uzalendo na ubunifu wake katika kutekeleza majukumu yake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

PIA, SOMA:
Pengo siyo mchungaji! poleni mnamwamini!!!!
 
Huyu dingi mtu wa kamba sana
Chief Priest,
Hakika mjadala huu na post niliyoweka si wa mosi kuchangiwa kwanza kwa matusi na pili kwa lugha za mtaani za ''dingi'' na ''mtu wa kamba.''

Kuna ambayo yananipa shida kuyaeleza kwani sipendi nitoe picha kuwa najigamba lakini ukweli ni kuwa nina heshima yangu hapa JF.

JF wameniadhimisha mara mbili:

1713448888750.jpeg

Maxence Melo Executive Director JF akinikabidhi cheti
2021

1713448739958.jpeg

2021

1713448585822.png

1713448660452.png

2022

Chief Priest,

Nimeadhimishwa na Waislamu wa Tanzania mara tatu kwa mara ya mwisho mwezi wa Ramadhani kwa kunikabidhi cheti:

1713450017365.jpeg

2023

Nina wanafunzi wangu hapa wanaonisoma bila kuchangia chochote wao wako hapa kusoma upya historia ya uhuru wa Tanganyika na mengineyo.​

Halikadhalika nina wasomaji wengi sana wanaopenda kusoma kila niandikiacho.

Watu hawa pamoja na mimi tumenufaika sana na JF.

Tunaamini JF si mahali pa kuandika matusi.

JF ni mahali pa kubadilishana fikra na kupata elimu.

Nakusihi tushirikiane kudumisha heshima ya JF.
 
Huyu dingi mtu wa kamba sana

TUKIO GANI LILITOKEA SIKU KAMA YA LEO TAREHE 17 APRILI, 1953?

Tarehe 17 April 1953 ulifanyika mkutano wa mwaka wa TAA Ukumbi wa Arnautoglo, Dar es Salaam.

Mkutano wa mwisho wa TAA ulifanyika mwaka wa 1950 na katika mkutano huu uongozi wa wazee wasomi wa enzi ya utawala wa Wajerumani, Mwalimu Thomas Saudtz Plantan aliyekuwa President na Clement Mohamed Mtamila, Secretary uliondolewa madarakani na viongozi vijana Dr. Vedasto Kyaruzi, President na Abdulwahid Sykes, Secretary uliingia madarakani kuongoza TAA.

Kwa nini ilichukua miaka minne kwa TAA kuitisha kile walichokuwa wakikiita ‘’Delegates Conference?’’

Swali hili nilimuuliza Tewa Said Tewa.

Jibu lake lilikuwa, ‘’Abdul Sykes aliyekuwa akitakiwa kuitisha mkutano huo alikuwa akisema tusubirini kwanza.’’

Mimi nilikamuuliza, ‘’Inakuwaje Abdul Sykes mtu mmoja ndiye aamue lini mkutano wa TAA uitishwe na akauchelewesha kwa miaka minne?’’

Mzee Tewa alinijibu kuwa, ‘’Sisi tukimtegemea sana Abdul katika kuendesha TAA hasa katika kutoa fedha za kuendesha chama hivyo tusingeweza peke yetu wanachama kufanya lolote bila ya yeye.’’

Mzee Tewa aliendelea na kunambia, ‘’Laiti kama Abdul angeliitisha mkutano mapema baada ya mkutano wa 1950 sisi tungeasisi TANU na Julius Nyerere asingeiwahi TANU.’’

Mazungumzo haya nimefanya na Mzee Tewa sasa miaka 40 iliyopita.

Abdul Sykes akiwa Act. President kuanzia 1951 na Secretary wa TAA aliitisha ‘’Delegates Conference,’’ tarehe 17 April, 1953 katika Ukumbi wa Arnautoglo.

Agenda kuu ya mkutano ule ilikuwa uchaguzi wa viongozi.

Uchaguzi huu ni muhimu sana katika historia ya Tanganyika na katika historia ya Julius Nyerere.

Kabla ya uchaguzi huu mwanzoni mwa mwaka wa 1953 Abdul Sykes akiongozana na Ali Mwinyi Tambwe, Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) alifunga safari kwenda Nansio, Ukerewe kuonana na Hamza Mwapachu kupata kauli yake kuhusu suala la uchaguzi.

Katika suala hili la uchaguzi aliyekuwa anazungumzwa kuhusu kuchukua nafasi ya President wa TAA alikuwa Julius Kambarage Nyerere lakini palikuwa na tatizo.

Tatizo alikuwa yeye Abdul Sykes.

Ikiwa Abdul Sykes atagombea nafasi ya President na kusimama dhidi ya Julius Nyerere, Nyerere hatoshinda uchaguzi ule na sababu ni ule umaarufu wa akina Sykes katika siasa za Dar es Salaam ya 1950.

Mbali na hili chama chenyewe, yaani African Association (AA) kilianzishwa na baba yake mwaka wa 1929 na wamekiongoza na kuifadhili AA kutoka wakati huo.

Hamza Mwapachu alimwambia Abdul Sykes kuwa kwa kuwa kusudio ni kuunda chama cha siasa kilicho dhahir kudai uhuru wa Tanganyika, Julius Nyerere anafaa zaidi kuongoza harakati za za kudai uhuru chini ya TANU.

Usiku wa kuamkia uchaguzi Abdul Sykes alikwenda nyumbani kwa Tewa Tewa Said.

Tewa Said alikuwa anaishi Mtaa wa Stanley na Swahili jirani sana na nyumba ya Abdul Sykes Mtaa huo huo wa Stanley nyumba ya Abdul ikiwa kwenye kona na Mtaa wa Sikukuu.

Abdul alimwambia Tewa kuwa, "Tewa kesho tunakwenda kumpa Nyerere chama na tukishampa hatutoweza tena kumnyang'anya. Mimi simjui vizuri huyu mtu lakini nategemea In Shaa Allah mambo yote yatakuwa sawa."

Kilichotokea katika uchaguzi ule pale Arnautoglo tarehe 17 Aprili, 1953 ni kuwa Julius Nyerere alishinda uchaguzi ule kwa kura chache sana akawa TAA Territorial President na Abdul Sykes Vice President.

Umuhimu wa uchaguzi huu ni kuwa historia ya Julius Nyerere katika TANU na kudai uhuru wa Tanganyika inaanza siku hii ya tarehe 17 Aprili, 1953 ndani ya Ukumbi wa Arnautoglo.

TANU ilipokuja kuandika historia yake na kuchapa kitabu mwaka wa 1981 jina la Abdul Sykes halikuwemo kitabuni.

Imekuwaje historia hii muhimu haijaandikwa na wanahistoria wote walioandika kuhusu historia ya Julius Nyerere, TANU na harakati za kudai uhuru?

Inawezekana hawakupata kuisikia?

Au ni kwa sababu waandishi wote walioandika historia ya TANU hakuwapata fursa ya kusoma Nyaraza za Sykes?

Lakini swali litakuja kwa nini wanahistoria hawa hawakuonekana kuvutiwa na historia ya ukoo wa Sykes lau kama mchango wao katika TANU ulikuwa unafahamika sana?

Utasikia inasemwa kuwa Nyerere alichukua uongozi wa TAA mwaka wa 1953.

Ilikuwaje akachukua uongozi huo hili halisemwi na Nyerere mwenyewe hajapata kueleza hadi anaingia kaburini.

Picha: Picha ya Kwanza Ukumbi wa Arnautoglo, ya pili kulia ni Lawi Sijaona, Abdul Sykes, Julius Nyerere na Dossa Aziz katika dhifa Ukumbi wa Arnautoglo ya kumuaga Nyerere safari ya pili UNO 1957.

(Dhifa ya safari ya kwanza UNO 1955 ilifanyika kwenye jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika).

Picha ya tatu ni Tewa Said Tewa mmoja katika wazalendo 17 walioasisi TANU 1954.

1713452937242.jpeg

1713452995091.jpeg

1713453025864.jpeg

1713453060894.jpeg
 
Back
Top Bottom