Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
ni kweli. watu hawana shida na mkataba, wanahitaji tuingie makubaliano na waarabu, waarabu wana pesa ya kuwekeza na ndicho tunachohitaji. shita ni kwenye terms za mkataba, hazijakaa vizuri. wakiweka terms vizuri, huu uwekezaji ni wa muhimu sana.Nje ya siasa mkataba huu ni wazi unaungwa mkono na watu wachache sana.
Wewe unafikiri sababu ni nini?It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Nchi gani wameweza kuiendesha hawa wapumbavu? Hii ya kuweka tozo?Hivi inakuaje tunaweza kuendesha nchi halafu tunashindwa Bandari?
Unaogopa kuvaa kanzu na kubazi mkuu😂😂Kwahiyo ni heri aibe Mwarabu sio?
Huyu akae kimya upesi. Anahofia kukosa tax exemptions alizozoea kupata wakati anapitisha bandarini mamisaada yake kutoka ughaibuni."....huenda Serikali imeona kuna tija. Lakini najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!
"....je, pesa ni muhimu kuliko kuwajengea uwezo Watanzania ili wao waweze kuiendesha bandari yao?! Kila mmoja wetu ajiulize hilo."
"....mwenyezi Mungu alimweka binadamu ili aweze kutawala mali na hata pesa. Hilo ndilo jawabu langu la ki maadili."
"Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi," Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
Ndugu yangu hii nchi inajiendea tu ndio maana hata hao unaosema wanaongoza nchi wanakushangaa maana wao wanajua kabisa kuwa hawaongozi ndio maana kuuza bandari hawaoni shida walishalewa wakapitiliza na ulevi wa mwanamke ni hatari zaidi.Hivi inakuaje tunaweza kuendesha nchi halafu tunashindwa Bandari?
Unachokifanya ndivyo walivyofanya Waafrika wapumbavu kama ww wakati wa kupigania uhuru nyakati zile wakiwaona wakoloni ni bora kuliko Waafrika wenzao,nilidhani hawa watu walikufa zamani kumbe bado upo mzee.Yaani you don't see the importance of your personality as African you are very poor my friend.Huyo Baba yako Gwajima muulize vzr alienda kupiga magoti mbele ya Mwadhama na hawezi kurudia tena na wala usimkumbushe.Huyu akae kimya upesi. Anahofia kukosa tax exemptions alizozoea kupata wakati anapitisha bandarini mamisaada yake kutoka ughaibuni.
Akirudia tutamuitia Gwajima amkague kama kwa sasa siyo mjinga mmoja, mpuuzi mmoja na asiyefaa mmoja.
Roman Catholic ndiyo inaweka Marais duniani. Tuambie huyu mlimuweka?Unachokifanya ndivyo walivyofanya Waafrika wapumbavu kama ww wakati wa kupigania uhuru nyakati zile wakiwaona wakoloni ni bora kuliko Waafrika wenzao,nilidhani hawa watu walikufa zamani kumbe bado upo mzee.Yaani you don't see the importance of your personality as African you are very poor my friend.Huyo Baba yako Gwajima muulize vzr alienda kupiga magoti mbele ya Mwadhama na hawezi kurudia tena na wala usimkumbushe.
Enzi za msalaba walikuwa kimya ila sasa wanafungulia maspika yao."....huenda Serikali imeona kuna tija. Lakini najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!
"....je, pesa ni muhimu kuliko kuwajengea uwezo Watanzania ili wao waweze kuiendesha bandari yao?! Kila mmoja wetu ajiulize hilo."
"....mwenyezi Mungu alimweka binadamu ili aweze kutawala mali na hata pesa. Hilo ndilo jawabu langu la ki maadili."
"Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi," Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
Ww ni mfupi na humu jamii forum hapakufai maana pana watu warefu ambao wanaona ambako ww kwa UFUPI ulionao huwezi kuona.Roman Catholic ndiyo inaweka Marais duniani. Tuambie huyu mlimuweka?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Dondosha kavideo kanakoonesha Gwajima akimpigia goti kadinali mwanya.Unachokifanya ndivyo walivyofanya Waafrika wapumbavu kama ww wakati wa kupigania uhuru nyakati zile wakiwaona wakoloni ni bora kuliko Waafrika wenzao,nilidhani hawa watu walikufa zamani kumbe bado upo mzee.Yaani you don't see the importance of your personality as African you are very poor my friend.Huyo Baba yako Gwajima muulize vzr alienda kupiga magoti mbele ya Mwadhama na hawezi kurudia tena na wala usimkumbushe.
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Tukiishawapa wageni kila kitu kutokana na kwamba sisi tumeshindwa, tutabaki bila kitu tunachoendesha wenyewe. Hii maana yake ni kwamba serikali inakosa uhalali wa kuwepo. Sasa sijui ni ukoloni mpya ndiyo unajipa uhalali wa kuwepo!?Ni kweli, hatu. Tumeweza kuendesha nini? Nchi?[emoji28]
Nakubaliana na wewe kwamba kama Viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kubinafsisha au kuruhusu uwekezaji wa nje, kwa imani yao kuwa nchini watu wanawaongoza hawana uwezo, waanze kubinafsisha nafasi zao za uongozi. Wanawajibika kujenga uwezo wa wanaowaongoza na si vinginevyo.Tukiishawapa wageni kila kitu kutokana na kwamba sisi tumeshindwa, tutabaki bila kitu tunachoendesha wenyewe. Hii maana yake ni kwamba serikali inakosa uhalali wa kuwepo. Sasa sijui ni ukoloni mpya ndiyo unajipa uhalali wa kuwepo!?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Basi, tukubali hayo unayosema wewe, "apewe mwekezaji".Bandari sio watu tu, Kuna gharama za uwekezaji, technology nk ambapo bongo imethibitika pasi na shaka kwa miaka zaidi ya 50 hatuwezi. Apewe muwekezaji.
Wakati Magufuli anatutupa Coco Beach mbona hatukumsikia? Huyu si ndio alikuwa anamuandaa Makonda awe Rais leo anabwata nini?"....huenda Serikali imeona kuna tija. Lakini najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!
"....je, pesa ni muhimu kuliko kuwajengea uwezo Watanzania ili wao waweze kuiendesha bandari yao?! Kila mmoja wetu ajiulize hilo."
"....mwenyezi Mungu alimweka binadamu ili aweze kutawala mali na hata pesa. Hilo ndilo jawabu langu la ki maadili."
"Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi," Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
SioTatizo maaskofu wangu ni wanafiki na udini sana,akiwa Rais muislam wanakuwa na chokochoko kila siku, akiwa mkristo hata afanye uovu mkubwa hawasemi zaidi sana watampa na kisonzo akusanye sadaka na kwenda ikulu kumfukiza kwa ubani.
GariKama wameshindwa kuendesha bandari wataweza kuendesha nchi?