Sio mwarabu tuu ni mtu yoyote mwenye uwezo na hata uzoefu kama tulivyobinafsisha fani ya uhasibu katika makampuni mengi binafsi na hata sekta ya bima.Ukiona taasisi ya Serikali imeshindwa, ujue Serikali ndiyo imeshindwa. Kwa hiyo tufikirie kumpa Serikali mwarabu.
Bams : kumbuka kuwa sio lazima serikali kusema imeshindwa la hasha ni kutaka kujikita katika kutekeleza majukumu ya jamii zaidi na sio biashara tena.
Ngoja nikupe mifano wa kampuni zilizokuwa zinafanya vibaya ila baada ya kuja wawekezaji sasa serikali inapata mapato makubwa:
1. TBL - South Africa
2. NMB - Uholanzi
3. NBC - South Africa
4. TCC - Japan
5. TOL - Anold Kilewo Rombo Tanzania
Na mengine mengi tuu!
Swali mbona kipindi hicho hakuna pimbi iliyolalamikia hizo nchi tajwa hapo juu! Au Chuki ni nini kumbafu zenu au ni uelewa wa mambo finyu mamayo zenu!!!