TikTok2021
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 690
- 1,060
wala bandari haikuuzwa kama ilivyouzwa sasa na wazanzibar kwa wajomba zao waarabu 😎Wakati wa JPM walikuwa kimyaa msituletee udini hapa hakuna dini yenye haki zaidi katika kuongoza hii nchi. Kwa JPM sikuwahi kusikia waraka wa wakatoliki
udini mnauanzisha nyie halafu mnataka tuwakalie kimya,kwa hili hamtofanikiwa hata mlete waarabu wote wa dubai Tanzania mtaendelea kuiona inasimama kama Tanzania hiyo mipango yenu mshafeli
ikiwapendeza leteni na wajomba zenu wa oman muone kama mtafanikiwa😕