Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Watanzania awataki mtu kama huyo; bandari ambayo mara ya mwisho ilitoa gawio la tsh 400 billion kwenye muda wake sasa hivi tunaambiwa wanatoa tsh 100 billion.Mbona kwa magufuli mashirika yali simama na yakawa yanatoa na gawio?
Hao TICTS mchango ni billion 24 tu, tena kabla ya hapo walikuwa awatoi zaidi tsh 5 billion.
Wengine serikalini atujui ata kama bado wanapeleka gawio ukitoa mabank yanayoendeshwa privately, serikali akiwa mmbia tu.
Generally speaking ni busara ata angekuwepo Magufuli kuanza kufikiria issue za management, kwa sababu wengine walikuwa wanashindwa biashara ata alipokuwepo. Serikali inaweza kubaki na umiliki wa 100% maana sehemu nyingine ishafanya uwekezaji mkubwa ila management wakatafutwa watu wenye uwezo.