denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Usihangaishwe na huyo wakala wa shetani aliyeamua kumtumikia shetani kwa nguvu zake zote.Mwondoe shetani nafsini mwako. Hakuna mtu mwenye imani ya kweli ya Mungu mwenye kauli za kishetani kama hizo zako.
Ukimtusi kiongozi wa dini au mtu yeyote kwa kupitia imani yake maana yake umewatusi waumini wa dini nzima.
Unaposema kiongozi wa wakatoliki anafuga misukule unamaanisha wakristo wote wanafuga misukule.
Wewe bila shaka ni uzao wa shetani. Waislam safi na wenye imani yao thabiti kwa mola wao tunawafahamu kwa kauli na matendo yao.
Ukiona mtu ana maneno machafu kama hayo yako, nafsini mwake anatembea na shetani.
Japo umekuwa mzee lakini inaonekana ni mtoto mchanga katika imani. Watafuteni wanaoujua uislam wakufundishe, la sivyo mwisho wako siyo mwema.