Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

Nimeachiwa maeneo (Mashamba au viwanja) na babu siwezi kuyaendesha niyauze ? au niyakodishe kwa tajiri miaka 50 ili tu anisifie na kusema "niambie rafiki angu" kunikaribisha kwake its NONSENSE
 
Cardinal Pengo nae asijifanye hajui uendeshaji wa bandari ulitushinda miaka mingi tu, tuliwaweka TICTS pale ndio wakatuibia sanaa na ufanisi mdogo mno, pia upande wa magati ya TPA ambako TICTS hawasimamii, nako uwizi ni balaa, sasa tushukuru Mungu DP World wamekuja kutusaidia na DP World tumeona mafanikio yao katika nchi mbalimbali, chekini jirani Rwanda tu hapo muone dry port kubwa na nzuri mno.

Sasa hivi ndio Cardinal Pendo anajiuliza eti tumeshindwa kuendesha bandari? Mnafiki sana huyu askofu, miaka mingi tulishashindwa na anajua, sema sababu Mama Samia ni Rais muislam ndio maana anasema hivyo, yaani hasapoti DP World ya waarab waislam kuja kuwekeza hapa kwetu, ila ingekuwa DP World ni ya Italia, angefurahi sana, nataka nimkumbushe Cardinal Pengo, DP World wamewekeza sana hadi Ulaya na USA huko kwa wakristo, so aache udini.
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?

Hebu acheni ujinga. Kwa nini mnasita kuinyoshea CCM kidole kama chanzo cha matatizo katika taifa hili?

Je hizo sera za CCM zina faida gani kama serikali wanayoiunda haiwezi kusimamia uendeshaji wa Bandari kwa ufanisi?

Je ndani ya CCM hakuna watu wenye sifa na uadilifu hadi tuuze bandari yetu kwa Waarabu?

Kumbuka juhudi zinazofanywa na CCM kung’ang’ania madaraka hata kama hawana uwezo wala sifa.

Adui wa taifa hiki ni hili genge la wezi na walafi ambalo lina ujasiri na halioni aibu wala tabu kula hadi mbegu.
 
Hebu acha ujinga. Kwa nini unasita kuinyoshea CCM kidole kama chanzo cha matatizo katika taifa hili?

Je hizo sera za CCM zina faida gani kama serikali wanayoiunda haiwezi kusimamia uendeshaji wa Bandari kwa ufanisi?

Je ndani ya CCM hakuna watu wenye sifa na uadilifu hadi tuuze bandari yetu kwa Waarabu?

Kumbuka juhudi zinazofanywa na CCM kung’ang’ania madaraka hata kama hawana uwezo wala sifa.

Adui wa taifa hiki ni hili genge la wezi na walafi ambalo lina ujasiri na halioni aibu wala tabu kula hadi mbegu.
Wanajifanya hawajui
 
Hili la bandari halitaisha leo Wala kesho
Hapa CCM wamelikoroga Bora hata issue za migodi na gesi ambapo wawekezaji ndio wenye technology ila hili la bandari tunauwezo wa Kununua mitambo na tukaendesha wenyewe
Tatizo atuna utashi wa kufanya kazi kwa weredi na uzalendo.
P. Kagame amewahi semea Bandari ya Dar.
Malalamiko ayaidhi zidi ya Bandari. Kwann watendaji wa Bandari Wana utajiri wa gafla usioakisi kipato alali istoshe Wana kiburi sn. Unadhani Kuna nn apo
 
Akalale huyo mzee, biashara anayoielewa ni ya kufuga misukule tu.
Mwondoe shetani nafsini mwako. Hakuna mtu mwenye imani ya kweli ya Mungu mwenye kauli za kishetani kama hizo zako.

Ukimtusi kiongozi wa dini au mtu yeyote kwa kupitia imani yake maana yake umewatusi waumini wa dini nzima.

Unaposema kiongozi wa wakatoliki anafuga misukule unamaanisha wakristo wote wanafuga misukule.

Wewe bila shaka ni uzao wa shetani. Waislam safi na wenye imani yao thabiti kwa mola wao tunawafahamu kwa kauli na matendo yao.

Ukiona mtu ana maneno machafu kama hayo yako, nafsini mwake anatembea na shetani.

Japo umekuwa mzee lakini inaonekana ni mtoto mchanga katika imani. Watafuteni wanaoujua uislam wakufundishe, la sivyo mwisho wako siyo mwema.
 
Azam tv inavipindi vinatukana dini ya kikristo kupitia tamthilia .Tunaomba wahusuka wqngalie hili kwq haraka.
Wee Kwan umeenda kuangalia vipindi vya kipuuzi

Lkn pia Ni Azam media hyo hyo ndio imewapa kina mwamposa nafsi ya kuonesha vipindi vyao

Embu acha kuangalia ujinga ujinga
 
Ni mkataba wa kitapeli sn
Ule siyo mkataba, ni ushenzi wa hali ya juu. Kama ni mkataba mzuri, waypeleke hivyo hivyo huko Zanzibar.

Lakini wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa sababu wana akili, siyo kama hawa tutusa akina Faizafox, hawawezi kuukubali kamwe. Maana uhayani kama huu wa akina Faizafox ni kipaji na sifa kama ilivyo ufupi au urefu.
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Hoja ya pengo umeielewa?, ameongolea juu ya kuwajengea uwezo watanzania,wewe nawe unalipuka na mengine tu.
 
Back
Top Bottom