Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Kwa nini asingeulizaMfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini asingeulizaMfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
😁😁😁😁Huyu mzee imekuwaje mpaka sasa hajapitishiwa bahasha mmefanya kosa kubwa
"....najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!
"Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi," Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
Kama hiyo ndio hoja yako. Mbona serikali ya Tanzania imefeli kueta maendeeo zaidi ya miaka 60. Serikali nayo tuibinafushishe??It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Una uliza hili swali kwa kutojua kweli au unatania Mkuu?Pengo naye ni mtu wa kanisa? Kanisa gani ndugu yangu?
Tatizo tunaongozwa na chama kilichosheheni wezi watupu, kuanzia shinani mpaka taifaIt's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
We Fala jibu hoja mambo ya kuguswa kwa huyo mapengo au nguvu ya katoliki ina uhusiano gani!!! Vibaraka wa Vatican 🇻🇦!!!Una uliza hili swali kwa kutojua kweli au unatania Mkuu?
Ukitaka kujua nguvu ya Kanisa la RC hapa Tanzania, mguse huyo Mzee
Hujui zaidi ya asilimia 53 ya Wapiga kura wa Tanzania huabudu Kanisa moja na huyo Mzee, kwahiyo ni muhimu kuichukulia kauli yake kwa tahadhariHao watu wa ka..... Ni matapeli tu
Kwamba mkataba hauna kikomo na hamuwezi kujitoa mpaka sisi warabu tutakapoamua kuziachilia hizo bandariKwani terms za mkataba huu zikoje?
Kuna kajamaa hapa kana ukwasi wa ajabu kazi hapohapo bandari. Hayo magendo anayokimbiza huyu jamaa mpaka kuwa doni si mchezo. Ah! Bandari wanazinyakua hela aseee. Bora apewe muarabu tuIt's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Na nyinyi Bavicha lazima mkomalie hapo sabab Kuna maslahi ya chama.. so, hamuwez kusikiliza Hoja zaid ya kujaji kupata Kona za kupigia kampeni 2025.Hili la bandari halitaisha leo Wala kesho
Hapa CCM wamelikoroga Bora hata issue za migodi na gesi ambapo wawekezaji ndio wenye technology ila hili la bandari tunauwezo wa Kununua mitambo na tukaendesha wenyewe
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Hatuwezi kujibu hoja bila kutumia lugha za kuudhi/kukera mkuu?We Fala jibu hoja mambo ya kuguswa kwa huyo mapengo au nguvu ya katoliki ina uhusiano gani!!! Vibaraka wa Vatican 🇻🇦!!!
Mie nimemsikiliza Pengo mwanzo hadi mwisho, hili la bandari kaulizwa mwishoni kabisa, nje ya mada yake. Hakujibu hivi, umemuwekea maneno mdomoni."....huenda Serikali imeona kuna tija. Lakini najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!
"....je, pesa ni muhimu kuliko kuwajengea uwezo Watanzania ili wao waweze kuindesha bandari yao?! Kila mmoja wetu ajiulize hilo."
"....mwenyezi Mungu alimweka binadamu ili aweze kutawala mali na hata pesa. Hilo ndilo jawabu langu la ki maadili."
"Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi," Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
Wapi imeandikwa hivyo?Kwamba mkataba hauna kikomo na hamuwezi kujitoa mpaka sisi warabu tutakapoamua kuziachilia hizo bandari
Nakupuuza umeathiriwa na diniWadiz! Wewe mtoto mdogo mfupi kama fikra zako ! Tena pumbafu kabisa unataka kuleta chokochoko za udini kisa ujinga wako! Hao wabunge waliopitisha wote ni waislam au muswaada ulipitishiwa zanzibar!
Pumbafu wale waarabu wa uturuki wanaojenge SGR wamekuja kipindi kipi kenge wewe!
Tena usirudie hayo maneno yako meusi meusi haramu wewe! Au awamu ya tatu Rip Ben alivyobinafsisha makampuni mengi kwa wazungu kulikuwa na lengo la ufanisi au udini !
Mamayo!
Utopolo mtupu dini petroli imekuathiri, mimi hao machoko dini yao inawasumbua nyie vingedere tuWadiz! Wewe mtoto mdogo mfupi kama fikra zako ! Tena pumbafu kabisa unataka kuleta chokochoko za udini kisa ujinga wako! Hao wabunge waliopitisha wote ni waislam au muswaada ulipitishiwa zanzibar!
Pumbafu wale waarabu wa uturuki wanaojenge SGR wamekuja kipindi kipi kenge wewe!
Tena usirudie hayo maneno yako meusi meusi haramu wewe! Au awamu ya tatu Rip Ben alivyobinafsisha makampuni mengi kwa wazungu kulikuwa na lengo la ufanisi au udini !
Mamayo!
Hata wewe huwezi, hiyo miaka 70 si ulikuwepo?Sema wewe ndio hauwezi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]DenooJ! Wewe basi ni Prof LIPUMBAFU kilaza mkubwa wa fikra wewe
Huo Uislam ndio umewatuma mtupeleke utumwani Dubai? kumbe kuna connection yakupelekwa utumwani na Uislam🫣🫣Nakuombea kwa Allah uione nuru ya Uislam.