Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
CCM hatuitaj kura ili kushindaHujui zaidi ya asilimia 53 ya Wapiga kura wa Tanzania huabudu Kanisa moja na huyo Mzee, kwahiyo ni muhimu kuichukulia kauli yake kwa tahadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM hatuitaj kura ili kushindaHujui zaidi ya asilimia 53 ya Wapiga kura wa Tanzania huabudu Kanisa moja na huyo Mzee, kwahiyo ni muhimu kuichukulia kauli yake kwa tahadhari
Viongozi wa dini washabiki wa chadema.Hadi viongozi wa dini wanaupinga huu mkataba ujue ni wa kihuni zaid na haufai.Shauri zenu watawala msiposikia sauti za wengi maana sauti za wengi ni ya Mungu.
Tatizo la watu wajinga,badala ya kujadili hoja,unaleta vitu vingine .Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Hatuwezi kujibu hoja bila kutumia lugha za kuudhi/kukera mkuu?
Mbona mimi sijakuvunjia heshima boss?
Tafadhali tuheshimiane walau kidogo Mkuu wangu
=========
Wasiwasi aliouonesha Mzee Pengo juu ya Ubinafsishaji Bandari kwa kipindi kisicho julikana, ndiyo huo huo ambao kila mtanzania mwenye mapenzi mema na Nchi yake lazima atauonesha.
Ni vizuri Rais wa Nchi, aone umuhimu wa kuuboresha kwa kuondoa vifungu vinavyouza bandari yetu. Hasa suala muda wa mkataba pamoja na kuwapa TRA mamlaka ya kukusanya kodi
Ni aibu kubwa snUle siyo mkataba, ni ushenzi wa hali ya juu. Kama ni mkataba mzuri, waypeleke hivyo hivyo huko Zanzibar.
Lakini wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa sababu wana akili, siyo kama hawa tutusa akina Faizafox, hawawezi kuukubali kamwe. Maana uhayani kama huu wa akina Faizafox ni kipaji na sifa kama ilivyo ufupi au urefu.
Umhonge pengo?, halafu pesa azipeleke wapi?. Una wajua lkn hao watu na aina ya maisha wanayo ishi?Huyu mzee imekuwaje mpaka sasa hajapitishiwa bahasha mmefanya kosa kubwa
Tulinde mali zetuHawawezi kufanikiwa. Huo mkataba wa kishenzi, wapeleke Zanzibar, tuone kama baraza la wawakilishi wataukubali.
Mbona kwa magufuli mashirika yali simama na yakawa yanatoa na gawio?Ni muda wa kuangalia management companies au raia wa kigeni wenye sifa sahihi na kuwapa kazi za kusimamia taasisi zote za kibiashara zinazomilikiwa na serikali sio bandari tu.
Muhimu ni kuwekeana mikataba ya performance targets.
Juzi Suma JKT imezindua kituo chao mafuta kwa hakiba ya hela zao; kwa sababu hakuna ubadhirifu kama ilivyo kwenye taasisi za serikali.
Kwanini TPDC aina vituo vya mafuta kuwa mshindani ndani ya soko. Moja ya sababu ni kwamba mteja wake mkubwa wa gas hivi sasa ni TANESCO na Dangote. TANESCO toka wameanza kupewa gas na TPDC awajawahi lipa ata centi 5, gas ambayo wanatumia kufanyia biashara na juzi hilo deni la TPDC serikali wamelifuta.
Watu ambao wameshindwa kuwalipa taasisi ambayo inauwazia malighafi wanayozalishia, hapo hapo wameenda kuingia mkataba wa kununua umeme wa jua; kipindi ambacho watakuwa na uzalishaji wa ziada bwawa la Nyerere.
Nimewatolea mfano tu hao TANESCO lakini wote TTCL, ATCL, NHC, TPDC, TRC na ikiwezekana halmashauri kama kuna uwezo wa kuajiri wageni katika nafasi ya wakurugenzi iwe hivyo.
Ifike wakati tuambizane ukweli watanzania hasa wanaoteuliwa na serikali awawezi kazi; unahitajika utaratibu mwingine ukizingatia sector zingine zina multiplier effect kubwa ya uchumi kama bandari.
Serikali isiishie na bandari tu, waende mbele wenyeji awawezi kazi.
Ukiona hivyo jua hawajamkatia fungu lake, linapokuja suala la kitaifa na kuwe na mnuso basi Pengo huwa haaminiki sawaa na wale jamaa wa KinondoniShida ya Pengo anaweza kuyakataa maneno yake mwenyewe kama ule waraka wa TEC
Sasa wewe unafikiri wale wanaowekwa toka utotoni kutoka kwenye vituo vyake vya "yatima" mpaka wanazeeka bila kuoa au kuolewa kama si misukule ni nini?Mwondoe shetani nafsini mwako. Hakuna mtu mwenye imani ya kweli ya Mungu mwenye kauli za kishetani kama hizo zako.
Ukimtusi kiongozi wa dini au mtu yeyote kwa kupitia imani yake maana yake umewatusi waumini wa dini nzima.
Unaposema kiongozi wa wakatoliki anafuga misukule unamaanisha wakristo wote wanafuga misukule.
Wewe bila shaka ni uzao wa shetani. Waislam safi na wenye imani yao thabiti kwa mola wao tunawafahamu kwa kauli na matendo yao.
Ukiona mtu ana maneno machafu kama hayo yako, nafsini mwake anatembea na shetani.
Japo umekuwa mzee lakini inaonekana ni mtoto mchanga katika imani. Watafuteni wanaoujua uislam wakufundishe, la sivyo mwisho wako siyo mwema.
Kama yeye haaminiki, sembuse hoja yake?Vipi hoja yake nayo haiaminiki?
Wanajifanya hawajui
Waliokutangulia wameingia mikataba isiyo na ukomo na wageni, tena mikataba isiyoweza kuvunjwa kwa mazingira yoyote; wewe ukiingia utafanya miujiza gani kubadili hiyo hali?Huko kwenye kuamua namna gani taasisi za kibiashara za serikali zinavyoendeshwa hao wanaokuwa wameshinda uchaguzi katika muda wao wanakuwa ni hiyo idhini ya kufanya wanayozani sahihi kuongeza ufanisi.
Sikutegemea comment kama hii kutoka kwako!!! Naamini usemi wa Warioba kwamba "... kila binadamu anayo bei yake.."Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Tatizo kubwa la Tanzania ni utendaji wa serikali ya CCM kwa kukosa uwajibikaji kwa kuofia chaguzi. Mtu anafanya ubadhirifu na ushaidi upo wa kutosha. Rais anachofanya ni uteuzi kwa lengo la kumbadilisha wizara. Huu ndio ujinga mkuu uliotufikisha hapaCardinal Pengo nae asijifanye hajui uendeshaji wa bandari ulitushinda miaka mingi tu, tuliwaweka TICTS pale ndio wakatuibia sanaa na ufanisi mdogo mno, pia upande wa magati ya TPA ambako TICTS hawasimamii, nako uwizi ni balaa, sasa tushukuru Mungu DP World wamekuja kutusaidia na DP World tumeona mafanikio yao katika nchi mbalimbali, chekini jirani Rwanda tu hapo muone dry port kubwa na nzuri mno.
Sasa hivi ndio Cardinal Pendo anajiuliza eti tumeshindwa kuendesha bandari? Mnafiki sana huyu askofu, miaka mingi tulishashindwa na anajua, sema sababu Mama Samia ni Rais muislam ndio maana anasema hivyo, yaani hasapoti DP World ya waarab waislam kuja kuwekeza hapa kwetu, ila ingekuwa DP World ni ya Italia, angefurahi sana, nataka nimkumbushe Cardinal Pengo, DP World wamewekeza sana hadi Ulaya na USA huko kwa wakristo, so aache udini.
Kama aliwapiga vijembe maaskofu wenzake, huo udini unatoka wapi sasa!Pengo ana elements nyingi sana za udini, alimsumbua sana Kikwete lakini kamwe hakuwahi kuinua mdomo dhidi ya Magufuli, alibaki akimsifu huku akiwapiha vijembe Maaskofu wenzake wa Katoliki walipojaribu kusimama.
Bila shaka unamuamini zaidi Mbowe kuliko hata wazazi wako!Tatizo la Pengo ni kutokuaminika
Na Mimi najiuliza wewe unamteua mtu asiye na uwezo, bila kufuata vigezo anashindwa kazi unasema sisi hatuwezi, wewe mwenyewe unamchagua mwekezaji unaye mtaka huyu una mpa mkataba wa milele au ukitaka kuvunja hiyo ndoa bei yake unashindwa mwenyewe, na wewe mwenyewe unakubali masharti ya ajabu kwenye huo mkataba. Sasa hapa tatizo ni mteuzi au wanaoteuliwa au wa Tz ."....huenda Serikali imeona kuna tija. Lakini najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!
"....je, pesa ni muhimu kuliko kuwajengea uwezo Watanzania ili wao waweze kuindesha bandari yao?! Kila mmoja wetu ajiulize hilo."
"....mwenyezi Mungu alimweka binadamu ili aweze kutawala mali na hata pesa. Hilo ndilo jawabu langu la ki maadili."
"Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi," Pengo.
Kanisa Katoliki TV.