Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Bandari haijawahi kufeli Nenda kaangalie mitambo iliyofungwa mle. Pale TPA hata foleni ya malori hakuna ni mara chache Sana ila sio kama miaka ya nyuma


Msumbufu wa pale bandarini ni TRA. Sema watu hudhani Kila changamoto mle ni TPA wakati SI kweli changamoto nyingi mle ni TRA.
 
Basi wapewe na TRA bandarini
 
Wa huko Italy hawawezi kuja na mkataba wa kishenzi namna hii.
The Boss ! Well said ! Unajua watu kama hiki kipimbi Bams ni kijinga kupindukia. Sisi tuonaongelea uwekezaji chenyewe kinaleta ukristu humu! Fala kabisa hichi kimtu labda kiombe Jf waanzishe Jukwaa la dini au kisibiri jumamosi asubuhi kiende jumuiya kikaongee huo ukenge wake lakini sio humu kumpafu kabisa # Bams
 
Wakati wa JPM walikuwa kimyaa msituletee udini hapa hakuna dini yenye haki zaidi katika kuongoza hii nchi. Kwa JPM sikuwahi kusikia waraka wa wakatoliki
Ukiwa kiziwi utasikiaje? Wenye masikio na macho tunaukumbuka ule waraka mkali wa pasaka uliotolewa na TEC, uliomkera sana JPM kiasi cha kufikia kuamrisha makanisa yalipe kodi hata kwa vitu ambavyo ni kwaajili ya huduma.

Suluhu ilipatikana baadaye sana, ndipo misamaha ya kodi kwa vifaa vya huduma zinazotolewa na taasisi za dini, ikarudishwa tena.

Lakini pua tuulizane, JPM pamoja na ubabe wake dhidi ya demokrasia na utii wa katiba, aliwahi kuuza rasilimali gani ya nchi?
 

Maza akitoka bandarini aende airports. KIA ilifufuka baada ya kupewe muwekezaji. TAA, TTCL, TANESCO zote wapewe wawekezaji.
 

Kama wameshindwa kurekebisha tofauti zao ngoja apewe muwekezaji sasa.
 
Hivi Accasia na TICTS walitokea upande upi wa dunia hii?
Kati ya makosa ya marehemu ni uwongo kuhusu Acacia, na Kabudi alikiri hilo.

Hivi Acacia katika uhalisia aliwahi kudhulumu rasilimali yoyote ya nchi? Acacia ilikuwa inalipa:

Corporate tax 30%
Mrabaha 4%
Free carried share ya Serikali 10%

Na hivyo ndivyo vilivyokuwepo wakati huo kwa mujibu wa sheria za nchi.

Kabudi anasema walilazimika kuisingizia Acacia na kuibandika tuhuma za uwongo ili kutengeneza mazingira ya kujadiliana tena viwango vya kodi. Lakini ukweli ni kwamba Acacia hakuwa na kosa lolote, ndiyo maana hawajawahi kulipishwa penalty ya aina yoyote. Hata ile ambayo Mayala aliita kishika uchumba, ilitamkwa kuwa wanatoa kwa good will, siyo kwamba walikuwa wanadaiwa chochote na Serikali.

Kwa mwarabu, hakuna free carriwd share, corporate tax anataka yeye alupe pungufu, mrabaha hakuna. Wala hakuna muda wa mkataba.
 
Maza akitoka bandarini aende airports. KIA ilifufuka baada ya kupewe muwekezaji. TAA, TTCL, TANESCO zote wapewe wawekezaji.
Hadi Takukuru nao hovyo mno! Eti kila siku kesi za mahakimu wa mahakama za mwanzo na watendaji wadogo serikalini huku wakubwa wakipeta tuu! Tena Takukuru wapewe wale jamaa wa Tamil Tigers wa Sir Lanka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…