Karia Akiendelea Hivi, Yanga hatumpi Kura Mama Samia

Mama Samia hategemei kura zenu kubakia madarakani anategemea Tume Feki ya Uchafuzi.
 
Mhuni Karia ni mpinzani wa CCM.
 
Ni upuuzi, yanga yenyewe tu ni ccm typically hadi rangi. Sasa mtaachaje kumpa kura mwana ccm?
 
Madaraka ya kulevya kumbe bado yapo?
 
Toka lini ulisikia CCM wanategemea kura ya mtu....
Ni kweli, lakini wanaofanikisha hayo na wanautopolo wamo.
Hivi kukitokea mgawanyiko mkubwa based on Udunduka na Utopolo kwa hao wafanikishaji patakua na salama?.
Tuombe Mungu wanasiasa wasiyangilie haya mambo kiunazi ili ipatikane salama.
 
Kwani CCM wanategemea kura basi, Tume itamtangaza mshindin kwa 99%bhata kama amepata kura mbili tu.
Wafanikishaji wakigawanyika, mambo yatakua?
Watu wa matukio kama Chadema ilikua ni fursa nzuri hii. Namkumbuka sana MWAMBA WA HAI.
 
Wapumbavu wakubwa nyinyi wanayanga. Mnadhani kuwa bila ya nyinyi hakuna CCM? Very stupid kind of thinking.

Umeshajiuliza mambo mangapi Karia kayafanya kwa ajili ya Yanga?. Alikubali kukorofishana na kina Barbara na Mo Dewji ili Yanga aweze kudhamini timu nane za ligi kuu, hilo sijui kama mnalifahamu vyema!.

GSM amekuwa akiipelekesha bodi ya ligi kadri anavyojisikia kisa hizo pesa zake ambazo ni haramu na Karia akawa akimchukulia kiungwana tu. Yanga sio ya kugombana na bodi kwani bila hiyo bodi na TFF kwa ujumla huu udhamini wa GSM usingewezekana.

Kusema kwamba hamtapigia kura Samia ni kuendekeza hulka ya kudeka ambayo mmekuwa nayo kwa miaka mingi sana. Mnasahau kuwa Samia aliwapa ndege ya kwenda na kurudi Algeria kucheza mechi ya fainali mwaka 2023 licha ya kugomea ombi lake la kuwa mgeni wa heshima wa mechi ya Yanga na Simba mwaka 2021.

Mnadanganywa na hao wazee kina Mudhihiri kwamba nyinyi ndio mmeupigania uhuru, another crap to cheat you guys.

Ali na Abdulwahib Sykes ndio waliomlipia Nyerere tiketi za kwenda na kurudi UN miaka ile ya 50 mwanzoni alipokwenda kuhutubia baraza la umoja wa mataifa, hotuba iliyochangia kupatikana kwa uhuru mwaka 1961. wote wawili walikuwa wanasimba.

Rashid Kawawa simba wa vita alikuwa mwanasimba halisi.


Mzee Rupia baba yake na Rupia aliyekuja kuwa katibu mkuu kiongozi aliyekuwa na ghorofa mtaa wa uhuru tajiri wa kwanza kwanza mweusi Tanganyika, aliidhamini TANU pia alikuwa mwanasimba mzuri.

Mnapodanganywa kuwa Yanga ndio kila kitu jiulizeni kwa kina kabla ya kuja na maamuzi yatakayoweza kuwashushia heshima yenu.
 
Nani kakwambi ushindi wa ccm unategemea kura za wananchi? Au hukumsikilza Nape vizuri. Alisema kuwa ushindi wa ccm unategemea na anayetangaza matokeo. Polisi wakaufyata
 
Nani kakwambi ushindi wa ccm unategemea kura za wananchi? Au hukumsikilza Nape vizuri. Alisema kuwa ushindi wa ccm unategemea na anayetangaza matokeo. Polisi wakaufyata
Ushindi wa CCM unategemea kwenda maporini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…