Karia Akiendelea Hivi, Yanga hatumpi Kura Mama Samia

FIFA waje kumfanyia uchunguzi mwenyekiti wa TFF kwa kauli zake tata
 
Nimeamini amani yetu yanchi hii jamaa inamuuma ameishazoea kwao vurugu anasema yeye ndiokapandisha mpira wetu sio kweli waliopa ndisha mpira in
1 kikwete
2 Azam
3. Mo
4 gsm
Sio karia hanalolote mpuuzi tu Maria
Anazidiwa mbali na mama
Karia arejee kwao Somalia akaendeshe soka kienyeji huko Mogadishu
 
Makolo wote na TFF yenu na msomali wenu Mtambue kuwa kinachoendelea huko TFF ndicho kimepelekea mada hii kuwepo jukwaani hapa endapo kusingekuwa na Ujinga unaoendelea TFF sasa kusingekuwa na hii mada leo, Makolo mjitafakari nendeni Veta kwanza
 
Chawa wa msomali wote kaeni na ndugu yenu mwambieni kuwa uonevu uovu Dhuluma huwa na mwisho wake hakuna kisicho na mwisho na sasa mwisho wa makolo kuitumia TFF kuwaonea yanga imewadia makolo amkeni
 
Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.

Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Karia anahusika vipi na uchaguzi Mkuu? Wewe ni mpumbavu
 
Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.

Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
We ni nyumbu huwez kuingiza siasa kwenye mpira wenu uchwara
Usifikiri kila mtu anapenda mpira wenu wa ovyo
Usipopiga kura wengine watapiga nyumbu wewe
 
Huyo ni msomali. Nenda kwao uone kama hata ubalozi utapewa.
Msomali anaongoza soka la Tanzania
Kama mmelala usingiz nyie mtaongozwa hata na nyumbu maana hamjitambui
Si mlipigia kura wenyewe au mlishikiwa bunduki kupiga kura wajinga nyie
 
Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.

Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Sawa. 🤝🤝
 
Huyo ni msomali. Nenda kwao uone kama hata ubalozi utapewa.
Msomali anaongoza soka la Tanzania
Uhamiaji walishamchunguza wakagundua ni Mtanzania halisi. Au mwenzetu unaangalia umbilical na mchongoko wa pua ?
Kama ni hivyo mtoeni na yule wa kilimo.
 
Hata wewe uende veta kwani wewe ni mpumbavu zaidi kwa kushindwa kuelewa kuwa mleta mada anapinga Uonevu wa TFF kwa style ambayo Serikali sasa itaamka na kulivalia njuga
Na wewe haraka VETA kwa akili zako km ubongo wa sisimizi..!! TFF km wanawaonea si wakashtaki FIFA au CAF
 
Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.

Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Kweli yanga mwenye akili kikwete sijui na nani!!!
Ccm wala haiitaji kura za wahuni wachache!
 
Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.

Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Sio Yanga tu hata na Simba wasipompigia kura Mama haitazuia ushindi wake wa kishindo. Pambaneni na Karia kwa sababu CCM hamtaiweza.
 
Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.

Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Kwahiyo Mama akiuza bandari,misitu,ardhi & viwanja vya ndege hakuna shida ila upuuzi wa Yanga ambao hauleti ugali mezani unaukomalia.

Hakika huko mbinguni Tanganyika ni the comed.
 
TISS msomali, huyu ndiye alipelekea mkuu wa majeshi kumwambia mama kuna wageni wako ngazi za juu serikalini.

Unaweza hisi nimekosea kwakuwa unaamini TFF haifungamani na serikali, mimi sizungumzii TFF nazungumzia jasusi Karia kupata taarifa za ndani zinazompa kiburi.

Msomali kama msomali.
Mama yake mbantu, Baba ndio....
 
Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.

Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
kwahiyo waliokuwa wanasema yanga ni ccm wako sahihi,kwani lazima kura c mpigieni Lisu
 
Back
Top Bottom