Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Mpira ushaingiliwa na Siasa 🚮
Mpira ushaingiliwa na Siasa 🚮
Unaakili mbovu sana, hivi huko kwa nin mnawadhalilisha mashabiki wenye akili. Kwa akili zako unamchonganisha na Samia, washughulikieni viongozi wenu wa hovyo.Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.
Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Nimeamini amani yetu yanchi hii jamaa inamuuma ameishazoea kwao vurugu anasema yeye ndiokapandisha mpira wetu sio kweli waliopa ndisha mpira inKaria Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.
Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Nothing like that.TISS msomali, huyu ndiye alipelekea mkuu wa majeshi kumwambia mama kuna wageni wako ngazi za juu serikalini.
Unaweza hisi nimekosea kwakuwa unaamini TFF haifungamani na serikali, mimi sizungumzii TFF nazungumzia jasusi Karia kupata taarifa za ndani zinazompa kiburi.
Msomali kama msomali.
why thisNothing like that.
Hapa elimu ni changamoto. Elimu elimu Elimu.Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.
Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Sina uhakika na tatizo la Karia kwa upande wa Yanga. Tatizo langu ni kuna uhusiano gani kati ya kura za Samiha na kazi ya Karia.Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.
Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
Fanya upite VETA ndugu yangu kama una degree lakini!Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia.
Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga atampigia Kura Mama Samia. Hatuwezi kukubali Washabiki zaidi ya milioni 20 tuonewe na mtu mmoja ,ambaye ni Raisi wa TFF
we ni simba bila shakaHapa elimu ni changamoto. Elimu elimu Elimu.
Wewe Akili unazo ? Kuwa chawa wa TFF Simba ndiyo kuwa na Akili ❓aliyewaita makolo hakukoseaAliyewaita Chura hakukosea. Maana Yanga hamna akili hata kidogo
Hata wewe uende veta kwani wewe ni mpumbavu zaidi kwa kushindwa kuelewa kuwa mleta mada anapinga Uonevu wa TFF kwa style ambayo Serikali sasa itaamka na kulivalia njugaKwahiyo unapiga kura sababu ya timu unayoshabikia?? Huu upumbavu sasa ndiomana Waziri mkuu anasisitiza muende VETA
Mashabiki wa Uonevu wa TFF kwa yanga Veta inawahusuFanya upite VETA ndugu yangu kama una degree lakini!
Wajinga ni wale wanafagilia uonevu wa TFF kwa yangaUmeona mlivyo wajinga
Simba ndiyo wanadeka walienda kudeka TFF kienyeji na mbuzi na wazee hadi TFF kupindisha kanuni kienyeji, yanga wanafuata taratibu vizuri ndiyo maana sasa wamekuja na njia nzuri ambayo itawafungua macho nyie chawa wa uovu na uonevu wa TFF ya SimbaYaan Yanga wanadeka,fuateni taratibu zinavyotaka.
Cha muhimu ni ujumbe ufike ili Serikali iwachukulie hatua TFF ya simba inayoendesha Soka kienyeji kama Somalia kwao mwenyekiti wa TFFMama Samia hategemei kura zenu kubakia madarakani anategemea Tume Feki ya Uchafuzi.