Karia Akiendelea Hivi, Yanga hatumpi Kura Mama Samia

shida ya ccm kuchanganya akili bangi na chooni
 
Na alienda UN kudai uhuru alikuwa mwanaKolo Dunduka.
 
Na alienda UN kudai uhuru alikuwa mwanaKolo Dunduka.
Nyerere aliheshimu kila mtu alikuwa na busara tofauti na huyu mpuuzi aliyeanzisha hii mada.

Nyerere aliitazama mechi ya Tanzania vs Sudan wachezaji wetu wakiwa vifua wazi hawana fulana, akajisikia aibu hakurudi tena mpirani.

Wahuni walipobinafsisha eneo lake pale Msasani baada ya kuwa ameshafariki, Rais Mkapa aliwatoa mbio upesi sana, akamlindia heshima.
 
Unaona hawa! Maisha yenu mnayaweka reheni kwa mpira? Kura mnapiga kwa sababu ya mpira?Mmelala kweli kweli.
 
Wana Yanga hawana akili za ki mbumbumbu kama zako. Wewe kapigwe na tone tone.
 
Pathetic
 
Kwa mujibu wa Haji Manara Yanga wenye akili ni wawili tu. Mzee Kikwete na Sunday Manara baba yake Haji.

Huyo ni miongoni mwa hao wengineo wengi waliobakia.
Wewe nawe utakuwa hauna akili kama Haji Manara, yaani huyo mwehu ndiyo kipimo chako cha kubaini wenye akili na wasio na akili.
Mataahira mko wengi huko Bongonyoso, yaani kauli ya kichaa ndiyo kipimo chako.
Pathetically stupid.
 
Mjasusi sio wa kushangaa nchi za kiafrika wapo kila mahali, Karia unayemuona jasusi alipigania mpaka Hersi msomali mwingine anayeongoza mpira TZ akapewa cheo kule CAF.

Karia katika kipindi chake timu ya wasichana imeshariki kombe la dunia la soka ya wanawake, hakujawahi kuwepo timu kutoka Tanzania ikashiriki kombe la dunia tangu nchi yetu ianze kuwepo.

Yanga na Simba wapo katika timu 20 bora za CAF kwa miaka mitano ya karibuni, haya ni mafanikio ya Karia.

Hakuna mtu aliyewahi kuuongoza mpira kwa mafanikio kumzidi Karia tangu mpira uanze kuchezwa.

Tatizo Yanga wanadekezwa sana na mamlaka kwa sababu za kisiasa, huyu mpuuzi mleta mada anapokuja na akili za kususia uchaguzi hilo ni wazo ambalo lipo miongoni mwa wanayanga ukiwasoma wanajadili nini katika makundi yao ya whatsapp utakutana na ujinga mwingi wa aina hiyo.
 

Naunga mkono hoja
 
Mmeanza kuamka😅😅
 
Wewe nawe utakuwa hauna akili kama Haji Manara, yaani huyo mwehu ndiyo kipimo chako cha kubaini wenye akili na wasio na akili.
Mataahira mko wengi huko Bongonyoso, yaani kauli ya kichaa ndiyo kipimo chako. Pathetic.
Huko Yanga akili hamna ukimsoma huyu mleta mada utagundua ukweli huo. Akili hazipo na aliongea maneno haya akiwa bado ni sehemu ya uongozi ndani ya Simba.

Uhuni wanaouleta utafikia mwisho siku sio nyingi.
 
Inahusianaje?
 
Na simba nao wasusie Uchaguzi.

No Election
Hii nchi ina wapiga kura wa ajabu..!!
Issue za kunchagua kiongozi wa kusimamia mambo muhimu wanaingiza ushabiki wa mipira..!! Hii ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…