Karia Akiendelea Hivi, Yanga hatumpi Kura Mama Samia

Unaakili mbovu sana, hivi huko kwa nin mnawadhalilisha mashabiki wenye akili. Kwa akili zako unamchonganisha na Samia, washughulikieni viongozi wenu wa hovyo.
 
Yanga chezeni mpira acheni siasa, au lah basi kamuoneni msajili wa vyama vya siasa tujue moja.
 
Nimeamini amani yetu yanchi hii jamaa inamuuma ameishazoea kwao vurugu anasema yeye ndiokapandisha mpira wetu sio kweli waliopa ndisha mpira in
1 kikwete
2 Azam
3. Mo
4 gsm
Sio karia hanalolote mpuuzi tu Maria
Anazidiwa mbali na mama
 
Nothing like that.
 
Hapa elimu ni changamoto. Elimu elimu Elimu.
 
Sina uhakika na tatizo la Karia kwa upande wa Yanga. Tatizo langu ni kuna uhusiano gani kati ya kura za Samiha na kazi ya Karia.

Ni vyema sisi watu wa Yanga tukawa na mawazo ya kiungwana mbeke ya watu wenye busara
 
Msomali ni huyo veta wenu eris mnafanya maujinga alafu mnataka msiguswe..nyie ni nani??
 
Fanya upite VETA ndugu yangu kama una degree lakini!
 
Kwahiyo unapiga kura sababu ya timu unayoshabikia?? Huu upumbavu sasa ndiomana Waziri mkuu anasisitiza muende VETA
Hata wewe uende veta kwani wewe ni mpumbavu zaidi kwa kushindwa kuelewa kuwa mleta mada anapinga Uonevu wa TFF kwa style ambayo Serikali sasa itaamka na kulivalia njuga
 
Yeyote anayeshabikia TFF kuwaonea yanga huyo aende Veta kwanza
 
Yaan Yanga wanadeka,fuateni taratibu zinavyotaka.
Simba ndiyo wanadeka walienda kudeka TFF kienyeji na mbuzi na wazee hadi TFF kupindisha kanuni kienyeji, yanga wanafuata taratibu vizuri ndiyo maana sasa wamekuja na njia nzuri ambayo itawafungua macho nyie chawa wa uovu na uonevu wa TFF ya Simba
 
Mama Samia hategemei kura zenu kubakia madarakani anategemea Tume Feki ya Uchafuzi.
Cha muhimu ni ujumbe ufike ili Serikali iwachukulie hatua TFF ya simba inayoendesha Soka kienyeji kama Somalia kwao mwenyekiti wa TFF
 
TFF ni Mali ya Simba binafsi na hata Watetezi wa Makolo wote ni wanufaika wa uonevu wa Simba TFF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…