Kariakoo, Dar: Kumetokea ujambazi wa kutisha mtaa wa Lindi na Livingstone muda huu, Polisi mpo wapi?

Mxieew ,! Kapigwa lisu risasi mbele ya nyumba ya kalemani CCTV zikang'olewa mpaka leo hawajatoa hizo footage ,
Tulieni dawa iwaingie na hao policcm wenu misukule
 
Kweli kabisa ni mwendo wa kukariri tu
Watu wanazunguka na Bahasha za kaki tu
Hivyo vitu mpaka vifanyike ni mjumuisho wa mambo mengi mtu anasoma ana njaa uhakika wa kula hana mazingira ya kusoma magumu walimu bora hakuna unategemea kitu kweli kwa mtu kama huyo 😃
 
Huo sio ujambazi. Tofautisha ukwapuaji na ujambazi.

Changamoto ninayo Iona hapo mwenye pesa amehatarisha usalama wake na WA pesa zake.
Hapo lawama kubwa nawalaumu wananchi,yaani sehemu yenye wapita njia 100 wote wamekaa kimya kwa kuogopa kisu tu,hapo imenishangaza sana.
Wameshindwa hata kuokota mawe na kurusha hata kwa mbali.
 
Hivi mkuu hao jamaa walijiaminu kufanya uhalifu kkoo kwa kisu tu au kulikuwa na silaha zingine?
 
Ni sahihi kabisa mkuu.

Sijapinga kitendo alichofanya ndugu hapo Kwa kuwasaidia Watu Kwa huduma hiyo ya kwanza. Ishu ni kuchukua tahadhari pia. Tuwalinde wengine huku tukijilinda pia.
Sasa mkuu wewe ukiwa safarini huwa unabeba gloves kwa ajili ya tahadhari?
 
Yaani raia mmeshindwa zuia uhalifu, halafu unauliza mahali polisi walipo!!

Unajua kuwa polisi mmoja anahudumia idadi ya watu wangapi?
Kwani Tanzania kuna raia!?
Mazombi ni asilimia 90.
 
Bongo bwana Yani wamachinga wa hapo wameshindwa hata kuweka meza barabarani ili hao majambazi wasiweze kipita
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]huyo mlinzi alikuwa mjinga alijidanganya kwamba kwa vile pesa ni nyingi akajua hazihesabiwi
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hapo lawama kubwa nawalaumu wananchi,yaani sehemu yenye wapita njia 100 wote wamekaa kimya kwa kuogopa kisu tu,hapo imenishangaza sana.
Wameshindwa hata kuokota mawe na kurusha hata kwa mbali.
Wapita njia 100 hapo unakuta 70 wezi 30 wanaogopa na wao kuibiwa kwahio unabaki bila ya msaada
 
Hapo lawama kubwa nawalaumu wananchi,yaani sehemu yenye wapita njia 100 wote wamekaa kimya kwa kuogopa kisu tu,hapo imenishangaza sana.
Wameshindwa hata kuokota mawe na kurusha hata kwa mbali.
Wangewazingira wasingepona ila watu waoga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…