KARIAKOO DERBY: Mechi baina ya Simba na Yanga, waamuzi watoke nje ya Tanzania kwa usalama wao pamoja na familia zao?

Hata aje malaika atalaumiwa na atapigwa ikiwezekana. Ushabiki wa mpira ni wendawazimu sio watu wa kuwaamini.
 
Hata aje malaika atalaumiwa na atapigwa ikiwezekana. Ushabiki wa mpira ni wendawazimu sio watu wa kuwaamini.
Akimaliza mechi si anarudi kwa familia yake huko Malawi, Zambia, Rwanda, Burundi au Tunisia..
 
Hiv waarabu sio walio kataa goli la yanga kule Afrika kusin??
 
Vp kuhusu usalama wa familia zao au wao wenyewe huko mitaani baada ya mechi??

Derby ya Simba na Yanga sio sawa ya Azam na Simba/Yanga ujue.

Simba na Yanga ni tumu za nchi nzima na sio Dar pekee ujue??..
Binafsi naona ili kuleta maendeleo ya soka Tz ni vema ikafanyika namna ya kuzifuta Simba na Yanga zisiwepo kabisa. Hii itasaidia kuifanya ligi yetu kuwa kama ya Ulaya ambapo mashabiki wanakuwa na uzalendo kwa vilabu vya maeneo yao(mikoa, wilaya), tofauti na ilivyo sasa unakuta Yanga inakwenda Kigoma halafu asilimia 90 wanataka Yanga ishinde.

Hivi vilabu viwili na janga kubwa katika maendeleo ya soka letu,mbaya zaidi tayari siasa nayo imeshajikita na ndio maana hawataki kuona timu nyingine inaifunga Simba au Yanga

Timu kubwa kama Man utd, Arsenal, Liverpool nk pamoja na ukubwa wao lakini huwa hazina guarantee kwamba ni lazima wao tu wawe juu, zikienda kucheza na timu ndogo kama Tottenham au Leeds United watakutana na asilimia kubwa ya mashabiki wa hizo timu, pia hakuna guarantee kuwa ni lazima washinde wao tu kama ilivyo hapa kwetu ambapo Simba au Yanga ikifungwa nchi nzima inatikisika na si ajabu hata refa akawajibishwa
 
Binafsi naona ili kuleta maendeleo ya soka Tz ni vema ikafanyika namna ya kuzifuta Simba na Yanga zisiwepo kabisa.
Hahahahaa umenichekesha sana mkuu. Zile ni timu za Mali ya ********* na kamwe haziwezi kufutwa wala kushuka Daraja..
 
Mkuu, sasa ukizifuta Simba na Yanga, wakazi wa Dar si utakuwa umewaonea aisee?? Morogoro watashabikia Mtubwa, Mbeya KenGold, wao Dar watashabikia timu gani mkuu??..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…