Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Yaani unaipenda club ya mpira kuliko familia yako?Ni wanazi wa KARIAKOO DERBY ni balaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unaipenda club ya mpira kuliko familia yako?Ni wanazi wa KARIAKOO DERBY ni balaa..
....kuna watu wana wazimu wa mpira mkuu wangu wee acha tu.Yaani unaipenda club ya mpira kuliko familia yako?
Mfano mzuri ni wewe mwenyewe..Baadhi ya mashabiki wa timu fulani hivi wameshaanza kuingiwa na mchecheto!!
Hiyo ni danger for D....kuna watu wana wazimu wa mpira mkuu wangu wee acha tu.
Mtu yupo radhi atoke Dar kwenda kutazama mechi ya Simba/Yanga hukoo Morogoro, lakini home hajaacha pesa ya watoto kula..
Referees si wanaletwa na TFF mkuu wangu..Labda refa ashushwe na roho mtakatifu. Kama ni waha watu wa duniani tu hapana, lawama zinaazia kwa anayemleta huyo lefa think big
Hata aje malaika atalaumiwa na atapigwa ikiwezekana. Ushabiki wa mpira ni wendawazimu sio watu wa kuwaamini.Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani.
Tukipata waamuzi kutokea nchi jirani au uarabuni sio mbaya sana. Au sio wakuu??..
Ni hayo tu..
~ SIPENDI SIASA ~
Sasa mtu kama huyo anashindwa vp kumdhuru referee au mtoto wake baada ya Yanga/Simba kufungwa??..Hiyo ni danger for D
Akimaliza mechi si anarudi kwa familia yake huko Malawi, Zambia, Rwanda, Burundi au Tunisia..Hata aje malaika atalaumiwa na atapigwa ikiwezekana. Ushabiki wa mpira ni wendawazimu sio watu wa kuwaamini.
Huko kudhuru wengine umeenda mbali sana tuanze na kujidhuru yeye mwenyeweSasa mtu kama huyo anashindwa vp kumdhuru referee au mtoto wake baada ya Yanga/Simba kufungwa??..
Unlike self harm, assaulting someone and taking matters into one's hands, is a crime..Huko kudhuru wengine umeenda mbal sana tuanze na kujidhuru yeye mwenyewe
When you kill yourself the matter is closedUnlike self harm, assaulting someone and taking matters into one's hands, is a crime..
Now, as of this case, which is better?? taking away an innocent life or for a soccer maniac to commit suicide??When you kill yourself the matter is closed
Hiv waarabu sio walio kataa goli la yanga kule Afrika kusin??Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani.
Tukipata waamuzi kutokea nchi jirani au uarabuni sio mbaya sana. Au sio wakuu??..
Ni hayo tu..
~ SIPENDI SIASA ~
Kwani kila goli la Yanga ni lazima likubaliwe??..Hiv waarabu sio walio kataa goli la yanga kule Afrika kusin??
Binafsi naona ili kuleta maendeleo ya soka Tz ni vema ikafanyika namna ya kuzifuta Simba na Yanga zisiwepo kabisa. Hii itasaidia kuifanya ligi yetu kuwa kama ya Ulaya ambapo mashabiki wanakuwa na uzalendo kwa vilabu vya maeneo yao(mikoa, wilaya), tofauti na ilivyo sasa unakuta Yanga inakwenda Kigoma halafu asilimia 90 wanataka Yanga ishinde.Vp kuhusu usalama wa familia zao au wao wenyewe huko mitaani baada ya mechi??
Derby ya Simba na Yanga sio sawa ya Azam na Simba/Yanga ujue.
Simba na Yanga ni tumu za nchi nzima na sio Dar pekee ujue??..
Hahahahaa umenichekesha sana mkuu. Zile ni timu za Mali ya ********* na kamwe haziwezi kufutwa wala kushuka Daraja..Binafsi naona ili kuleta maendeleo ya soka Tz ni vema ikafanyika namna ya kuzifuta Simba na Yanga zisiwepo kabisa.
Mkuu, sasa ukizifuta Simba na Yanga, wakazi wa Dar si utakuwa umewaonea aisee?? Morogoro watashabikia Mtubwa, Mbeya KenGold, wao Dar watashabikia timu gani mkuu??..Binafsi naona ili kuleta maendeleo ya soka Tz ni vema ikafanyika namna ya kuzifuta Simba na Yanga zisiwepo kabisa. Hii itasaidia kuifanya ligi yetu kuwa kama ya Ulaya ambapo mashabiki wanakuwa na uzalendo kwa vilabu vya maeneo yao(mikoa, wilaya), tofauti na ilivyo sasa unakuta Yanga inakwenda Kigoma halafu asilimia 90 wanataka Yanga ishinde.
Hivi vilabu viwili na janga kubwa katika maendeleo ya soka letu,mbaya zaidi tayari siasa nayo imeshajikita na ndio maana hawataki kuona timu nyingine inaifunga Simba au Yanga
Timu kubwa kama Man utd, Arsenal, Liverpool nk pamoja na ukubwa wao lakini huwa hazina guarantee kwamba ni lazima wao tu wawe juu, zikienda kucheza na timu ndogo kama Tottenham au Leeds United watakutana na asilimia kubwa ya mashabiki wa hizo timu, pia hakuna guarantee kuwa ni lazima washinde wao tu kama ilivyo hapa kwetu ambapo Simba au Yanga ikifungwa nchi nzima inatikisika na si ajabu hata refa akawajibishwa
Oneself is betterNow, as of this case, which is better?? taking away an innocent life or for a soccer maniac to commit suicide??