wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Acha mahaba,last defender adhabu yake huwa nini. Mbona husemei hii kama unaona pale alikuwa nje.Faulo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha mahaba,last defender adhabu yake huwa nini. Mbona husemei hii kama unaona pale alikuwa nje.Faulo
[emoji52][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hamkosi maneno wana Yanga ,sasa sijui wale Vyura pale Jangwani na hivi hawakauki nao wame athiri Mashabiki.[emoji849]
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona Yanga lia lia washaanza kulia
Kosa la refa au kosa la simba?That was not a penalty. It was outside the box
VAR pale EPL tu inakosea sembuse Bongo...Japo mimi Simba ila linesman amezingua amem-mislead refa wa kati.
Haikua penati. Foul imechezwa nje ya mstari.
Simba mzee kagua profile yangu uone michango yangu ya miaka nyuma utaona.
Kwanza huyu refa kwa rekod za nyuma anaongoza kuia simba. Pale huwezi kumlaumu. Hata kama ingekuwa siyo penat yondani alikuwa anakula umeme vile vile.
Bob ulimbetia yanga?huyu refa tulishamkataaga ***** zake shenzy wahed
That was not a penalty. It was outside the box
Sasa huyo Dada atakwambia nini cha Maana Mkuu Achana nae mahaba yanamsumbua hata ingewekwa faulo yondani apewe red angekuja kulalama hapaAcha mahaba,last defender adhabu yake huwa nini. Mbona husemei hii kama unaona pale alikuwa nje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa angekula nyekundu ila haibadilishi Kagere amechezewa faulo nje ya 18,kuwa mkweli penati hamna pale.
Umetumwa na mabeberu siyo?Japo mimi Simba ila linesman amezingua amem-mislead refa wa kati.
Haikua penati. Foul imechezwa nje ya mstari.
Lakini VAR nayo si imeonesha penart. Kwa mazingira yale mi siwezi mlaumu refa, ndio maana wenzetu wameweka VAR. Ile kama ile faulo ya liverpool siku ile ya fainari. Mi namlaumu lines man ile offside ndio kachapia kinoma. Ila refa anajitahidi.Kavutiwa nje kaanguka ndani,refa anazingua kishenzi.
punguza jazba kunywa maji mengi moyo uelee 😜Refa Nyooko. Anawapa Simba Penalt.