Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kungekuwa na VAR kusingekuwa na penati pale
 
Kavutiwa nje kaanguka ndani,refa anazingua kishenzi.
Lakini VAR nayo si imeonesha penart. Kwa mazingira yale mi siwezi mlaumu refa, ndio maana wenzetu wameweka VAR. Ile kama ile faulo ya liverpool siku ile ya fainari. Mi namlaumu lines man ile offside ndio kachapia kinoma. Ila refa anajitahidi.
 
Back
Top Bottom