kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Acheni hizo bhana,mmeingiza mchawi kwa ungo hajulikani ametokea wapi na baada ya tukio hilo ndipo mkasawazisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna sheria ya mpira wa miguu inayosema kazi ya Refa ni kubalance mchezo...ataamua kulingana na sheria 17 za mpira wa miguu kuhusu ile penalt its clear penalt tena alipaswa atoe card coz yule bek alkua last manRefa ameshindwa kubalance mchezo wakati anajua hii ni game kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Draw inashangiliwa hivi kazi kweli kweli.
Yule jamaa aliyeleta tunguli uwanjani ni Wa wapi mtani Shadeeya
mkuu 🐸🐸🐸wamekuja na matope wametibu party daa wako wanashangiria kama wametupiga 3 kavuDah very sad chura kangangania nguvu iwe sawa!
GIF zipo Telegram tunazitumia sanaaa.Umepanick mkuu. Bongo hamna GIF ningekuwekea kukuonyesha kosa la refa. Rafu ilichezwa mbali na eneo hatari
Kama ulivyosema mkuu ukitoa goli na mamaao mdogoLeo Simba anakufa kwa 2-1. Yaani Simba 1-2 Yanga. Tutaona
Kwani offside si nimesema kachapia? Au umejibu kihisia kuliko uhalisia wa maandishi?Offside ile nayo ya Nchimbi nayo mwamuzi huwezi mlaumu?Wakati Nchimbi hakuwa offside.
Ndio timu yetu haikucheza mpira mzuri lakini refa katunyonga mara mbili.
Hatujashinda
Mkuu umesahau ile droo ya goli 3 kwa 3? Hamkushangilia siku ile? Ukizingatia mbeleko ya refa leo, acha tu wananchi wafurahi!mkuu mnashangiria droo duu
HahahahhahahhahaKama ulivyosema mkuu ukitoa goli na mamaao mdogo
Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
ChomoaWanyama kama inauma..............................[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hayo maneno tu ....ila hongereni mana mnavyoshangilia kama mmeondoka na point 3 etiHatujashinda
Tumeshindana kihalali na wachezaji 11, Unajisikiaje kaka leo mmecheza 12?!
😜😜nasikia ni Rafik wa Mshana Jr kaingia na ndumba ya hatare
Mbona umekasirika,nimeongea nilichokiona na ninachokijua.Kwani offside si nimesema kachapia? Au umejibu kihisia kuliko uhalisia wa maandishi?