Kariakoo haina umuhimu kwa uchumi wa nchi kama tunavyo aminishana Bongo lala

Saaa ndio shisa iko jaoo, tunaua viwanda vyetu tunaanza tujuza vya wenzetu. Nchi asilimia 99 imejaa products za nje. then tunajisifu?
 
una apply politicak Science haoa mkuu
 
Huyu hajielewi
 
Huyu jamaa naona hazimo Yani anajua kariakoo ni msingi wa biashara east Africa yeye anaongea porojo
 
Sgr nayo ifungwe. Inabeba watu tu. Au sio
 
Sasa Mkuu viwanda vyenyewe viko wapi?
Kwa sasa ambapo hatuna viwanda,bado kwa hizo hizo bidhaa za Kariakoo serikali inakusanya kodi! Ndiyo maana TRA inashinda inafukuzana na wafanyabiashara hao!
 
Kwanini hukumuambia Chalamila atulie!
 
Unahangaika!
 
Haiondoi neno Dampo, Kariakoo ni Dampo la products za kigeni, shida wana siasa wanawadanganya sana, mitaji haibadili ukweli, maada ngumu huwezi elewa
Wewe uelewa wako ni mdogo sana

Marekani, Ulaya, mataifa ya ASEAN na Latin America wanatumia zaidi bidhaa za kutoka China kuliko Tanzania

Kwa hiyo wao ni madampo makubwa sio?
 
Sahihi ...💯💯💯
 
Wewe uelewa wako ni mdogo sana

Marekani, Ulaya, mataifa ya ASEAN na Latin America wanatumia zaidi bidhaa za kutoka China kuliko Tanzania

Kwa hiyo wao ni madampo makubwa sio?
Hata China ukienda utakuta bidhaa za Japani, India Ulaya, Marekani na Korea kusini, Maada ngumu hii huwezi elewa.
Kariakoo pale ni asilimia 100, Kariakoo ni Dampo make pake ni asilimia 100
 
Sahihi kabisa, Kariakoo imechangia pakubwa kudumaza sekta ya viwanda Tanzania.
Ni kechocheo cha kuendelea kuifanya nchi yetu wachuuzi wa bidhaa za China.
 
Sahihi kabisa, Kariakoo imechangia pakubwa kudumaza sekta ya viwanda Tanzania.
Ni kechocheo cha kuendelea kuifanya nchi yetu wachuuzi wa bidhaa za China.
Mkuu wajinga hawataelewa hili kamwe na hawawezi kukuelewa ndio Tatizo la hii nchi. Kariakoo pale hakuna ajira zinazo zalishwa pale, Ajira zinazalishwa China kule tunako chukua mzigo.

Huwezu kuwa na kitovu cha Biashara na hapo asilimia 100 ya products zinatoka nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…