Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

Hao ni washamba hawajui maana ya biashara ya nini mawinga leo hii ni maarufu kwa sababu tu ya technologia ila tokea zaman walikuwepo na huwezi wakwepa

Mfano wafanyabiashara wengi wa kariakoo watu wanaowasiliana nao kule china ni middleman ambao ni kama mawinga yeye ndo anayekupa gharama yote ya bidhaa mfano glass anapoga anakuambia ni 350 mpaka inafika kariakoo na mnafanya taratibu nyingine

Sasa hao wanaokubishia ni waajiriwa wengi wao au wafanyabiashara ambao biashara zao wananunua hapa hapa hawawezi kukuelewa
 
Nipe chimbo la hiyo bei ya kutupa kwa hivyo vifaa, maana km ni kuzunguka nilizunguka sana tu, kwenda mlimani nikakuta bei hazipishani kihivyo na vingine bei zinalingana
Vifaa vipi alafu kuna bei huwezi pewa wewe mteja unayekuja mara moja baada ya mwaka zile wanapewa wale wanaokuja kuchukua mzigo mara kwa mara

Mfano kwa hisense sidhan kuna mtu anayemfikia yule mhindi mwenye maduka ya mars yaani bidhaa zote za hisense utazunguka wewe mwisho wa siku utakua recommendede uende kwake na ukipitia kariakoo ni rais kupata bei nzuri
 
Winga huwezi kumkwepa

Winga wapo dunia nzima

Hata Tajiri namba moja duniani Jeff Bezos ni winga.

Hata kampuni ya Nike yenyewe ni winga wa vifaa vya michezo. Ila haina kiwanda hata kimoja.

Kampuni ya Gucci ni winga
 
Vijana wanatoka chuo wanaenda kuwa mawinga, jichanganye sasa....machimbo ya shimoni ndio legit, wengi hawataki mambo ya kiwaki
 
Wewe ni winga nakuambia acha njaa tafuta kazi ya kufanya hiyo sio kazi ni utapeli
Kwenye comment kuna element za kuongeza cha juu au kumtapeli mtu,unambwato na p diddy sio bure,shughuli ninayofanya inanilipa hadi kuweza kukulisha ww na familia hadi bibi yako shamba huko,acha kushobokea na kuquote ujinga comments za watu usiowajua
 
Hivyo viatu vya 45, 35 mnavinunulia wapi hapo Kariakoo.

Mbona mimi viatu vya kueleweka vingi si chini ya 50K,
Kuanzia raba, nakuaendela
Vingi unakuta aambia 60, 65, na 70K

Mtaa ninakwenda ni narung'ombe.
 
Ww huwezi kumiliki biashara ww ni wingwa bwana. Hiyo ni uongo wewe ni winga.
Na Ubungo mchina akipamalizia hapo mtatia adabu. Unaleta dharau eti nyie mnauzia wageni wa nje. Hivi unataka kusema lile nyomi lote la kariakoo ni la wacongo,Wamalawi na Wazambia. Acheni kujikweza nyie mawinga.

Kwa we Maana kwa maelezo yako ww bado unamindset za kichuuzi hutakuja kuwa mfanyabiashara ww ni mchuuzi for life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…