Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

Inasikitisha sana,
 
Mabadiliko ya Kariakoo kuongozwa na mawinga ni sawa na Mabadiliko ya panya road kuwa majambazi, upuuzi mtupu.
 
Nilishangaa bei ya vifaa vya jikoni kama jiko, fridge, oven nk mlimani city iko sawa na kariakoo, sasa si bora twende mlimani tu unapigwa kiyoyozi, hamna mawinga aka nzi wa chooni hakuna hofu ya kuibiwa wala harufu za vikwapa na midomo🙊
Sio kweli inategemea umekutana na nani ila nakuhakikishia kariakoo kuna bei za kutupa
 
Umasikin ni mbaya sana aisee. Nyie ndio mkiona mtu kanunua range rover mnamlaumu kwa kununua gari inayotumia mafuta. Mzee ukiona unanunua kitu kwa kubagain ujue hali yako ni mbaya pambana mkuu.
Nani kakwambia wewe, mbona una akili za ajabu, hakuna watu wana bargain kama matajiri, good deals unapata kwa kubargain, business is all about bargaining.
 
Mawinga au madalali ni kitu hicho hicho. Mtandao huu umezaa ULANGUZI na muathirika ni mnunuzi wa mwisho.Kwa maana hiyo jamii yetu imeruhusu hawa wanyonyaji na kuwaenzi eti bila wao hutoboe. SAD
 
Nani kakwambia wewe, mbona una akili za ajabu, hakuna watu wana bargain kama matajiri, good deals unapata kwa kubargain, business is all about bargaining.
Kiatu kimoja unabargain hakuna tajir anafanya huo ujinga ukimuambia buku atakuambia nakupa 800 nipe vinne au ukienda duka lolote kubwa bei iko pale sio kubargain. Kama ni biashara ya kati mnabargain. Tajir gan ana muda wa kukaa chini nusu saa anaomba kupunguziwa huyo sio tajir jombaa. Ingekuwa biashara za uzalishaji au za kati sawa sio biashara ya mlaji wa mwisho unakuta mtu anakaa dakika 20 apunguziwe buku huku ananunua kiatu kimoja huyo sio tajir mzee. Tajiri ni muda hawanaga muda.
 
Nimekwambia wewe ni jitu jinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…