Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

Mkuu, uchuuzi wa kitapeli si mzuri. Kwa eneo kama Kariakoo hauoni impact kwa haraka sababu watu ni wengi na kila siku kuna watu wapya wa kutapeliwa ila si jambo zuri kibiashara.

Unaweza kuwa na duka lako, ukawa na bei elekezi kwa mawinga wako wanaowaleta wateja hapo dukani. Utauza mno maana hutategemea wapitaji wapya bali wapya na wanaopita na kurudi.

Kwa wale wanaopost online na wanawapelekea wateja sawa ila kwa hawa wanaokuja na mteja dukani jitahidi uwe na bei elekezi kwa wateja wako.
 
Kuuliza sio ujinga then wafanyabiashara wananufaika kitu gani na hao mawinga? Au ni roho nzuri tu, yaani nifungue duka kwa pesa zangu alafu mimpe nafasi dalali apange bei ili nae apate ulaji alinisaidia mtaji?
 
Namba 3 uko sawa
Ila namba mbili umeharibu Makumbusho wahuni sana sishauri ukununue vitu makumbusho😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…